-
Kufichuliwa mambo mapya kuhusiana na Marekani kumuua kigaidi Luteni Jenerali Soleimani
May 10, 2021 05:00Jumamosi usiku, tovuti ya habari ya Yahoo News iliandika makala na ndani yake ilitoa taarifa mpya kuhusu operesheni ya jinai ya kinyama iliyofanywa na jeshi la kigaidi la Marekani ya kumuua shahidi aliyekuwa kamanda wa kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH, Luteni Jenerali Qassem Suleimani.
-
Jeshi la Chad lasema limeua 'mamia ya waasi'
May 01, 2021 08:23Baraza la kijeshi linalotawala Chad katika kipindi cha mpito limedai kuwa limeua mamia ya waasi katika makabiliano makali ya siku mbili huko mashariki mwa nchi, ambako aliyekuwa rais wa nchi hiyo Idriss Deby aliuawa.
-
AU, UN na EU zalaani mauaji ya Rais Idriss Deby wa Chad
Apr 21, 2021 03:10Umoja wa Afrika (AU), Umoja wa Mataifa (UN) na Umoja wa Ulaya (EU) zimelaani na kukosoa vikali mauaji ya Rais Idriss Deby Itno wa Chad.
-
Askari polisi aliyemuua Mmarekani mweusi, George Floyd apatikana na hatia
Apr 21, 2021 01:29Derek Chauvin, afisa mzungu wa polisi wa Marekani ambaye alimuua kikatili Mmarekani mwenye asili ya Afrika, George Floyd na kuzusha maandamano makubwa ya kupinga ubaguzi wa rangi dunia nzima hatimaye amepatikana na hatia katika mashitaka yote ya mauaji yaliyokuwa yakimuandama.
-
Rais Idriss Deby wa Chad auawa kabla ya kuapishwa kwa awamu ya sita
Apr 20, 2021 08:38Jeshi la Chad limetangaza leo kuwa rais wa nchi hiyo, Idriss Deby ameuawa kutokana na majeraha aliyoyapata katika medani ya vita.
-
Jumamosi, 10 Aprili, 2021
Apr 09, 2021 21:59Leo ni Jumamosi tarehe 27 Shaaban 1442 Hijria inayosadifiana na tarehe 10 Aprili 2021 Miladia.
-
Wafugaji 100 wauawa katika mapigano ya kugombania ardhi Ethiopia
Apr 07, 2021 03:15Mapigano baina ya wafugaji wa jamii hasimu zinazopakana katika eneo la Afar na Somali kaskazini mashariki mwa Ethiopia yamepelekea watu zaidi ya 100 kuuawa.
-
Watu 30 wauliwa katika shambulizi la silaha, nchini Ethiopia
Apr 01, 2021 03:46Watu waliokuwa na bunduki wamewauwa raia wasiopungua 30 katika shambulio lililolenga kijiji kimoja katika mkoa wa Oromia nchini Ethiopia. Shambulizi hilo linatambuliwa kuwa ni katika mfululizo wa ghasia za kikabila za hivi karibuni za wapinzani wa serikali ya shirikisho.
-
UN yaitaja siku ya jana kuwa mbaya zaidi Myanmar baada ya mapinduzi ya jeshi, raia 38 wapigwa risasi
Mar 04, 2021 03:54Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Mataifa nchini Myanmar ametangaza kuwa Jumatano ya jana ilikuwa siku mbaya na ya umwagaji mkubwa zaidi wa damu nchini humo baada ya mapinduzi ya kijeshi yaliyoiondoa madarakani serikali ya kiraia tarehe Mosi Februari mwaka huu.
-
Biden asoma ripoti ya CIA kuhusu mauaji ya Khashoggi, kuzunguza na Mfalme Salman wa Saudia
Feb 25, 2021 06:13Rais Joe Biden wa Marekani amesema kuwa, amepitia ripoti vya vyombo vya ujasusi vya nchi hiyo kuhusu mauaji ya mwandishi wa habari wa Saudi Arabia, Jamal Khashoggi na kwamba kuna uwezekano ripoti hiyo ikatolewa hii leo Alkhamisi.