-
Askari 12 wa Sudan Kusini wauawa katika jimbo lenye utajiri wa mafuta
Jul 23, 2022 11:23Wanajeshi wasiopungua 12 wa Sudan Kusini wameuawa huku wengine 13 wakijeruhiwa katika shambulio la waasi kaskazini mwa nchi.
-
Waliouawa katika mapigano ya kikabila Sudan wapindukia 100
Jul 21, 2022 12:42Idadi ya watu waliouawa katika machafuko ya kikabila katika jimbo la Blue Nile kusini mashariki mwa Sudan imeongezeka na kufikia watu 105.
-
Watu wengine 9 wauawa kwa kupigwa risasi Afrika Kusini
Jul 18, 2022 07:38Watu wasiopungua tisa wameuawa kwa kupigwa risasi na wengine kadhaa wamejeruhiwa katika matukio mawili tofauti ya ufyatuaji risasi nchini Afrika Kusini.
-
UN yalaani wimbi la hujuma dhidi ya raia mashariki mwa Kongo DR
Jul 15, 2022 02:29Mwakilishi Maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amelaani wimbi la mashambulio yanayofanywa na wanamgambo wa Allied Democratic Forces (ADF) dhidi ya raia katika maeneo ya kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Genge la ADF laendeleza wimbi la umwagaji damu DRC
Jul 11, 2022 11:22Watoto wanne ni miongoni mwa watu watano waliouawa katika shambulizi jipya la waasi wa kundi la Allied Democratic Forces (ADF) mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
ADF yashambulia kliniki na kuua watu 13 mashariki ya DRC
Jul 09, 2022 07:37Kwa akali watu 13 wameuawa katika shambulizi jipya la waasi wa kundi la Allied Democratic Forces (ADF) katika mkoa wa Kivu Kaskazini, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Dunia yalaani mauaji ya kigaidi ya Waziri Mkuu wa zamani wa Japan
Jul 08, 2022 10:09Jamii ya kimataifa imeendelea kulaani mauaji ya kigaidi ya Waziri Mkuu wa zamani wa Japan, Shinzo Abe.
-
Wizara ya Mambo ya Ndani Tunisia: Kuna njama ya kumuua Kais Saied
Jun 25, 2022 03:02Wizara ya Mambo ya Ndani ya Tunisia imetangaza kuwa ina taarifa za kuaminika zinazothibitisha kuwepo kwa vitisho vinavyolenga uhai wa Rais wa Jamhuri, Kais Saied.
-
UN: Mwanahabari Shireen Abu Akleh aliuawa na wanajeshi wa Israel
Jun 24, 2022 13:26Umoja wa Mataifa umesema taarifa ulizokusanya zinaonesha kuwa, Shireen Abu Akleh, mwandishi wa habari wa televisheni ya al-Jazeera ya Qatar aliuawa kwa kupigwa risasi na vikosi vya Israel.
-
Zaidi ya 130 wauawa katika mashambulizi ya magaidi nchini Mali
Jun 21, 2022 07:48Makumi ya raia wameuawa nchini Mali katika wimbi jipya la magenge ya wanamgambo wanaobeba silaha katikati ya nchi hiyo ya eneo la Sahel.