• Mbunge wa UK: FIFA na UEFA zina 'nyuso mbili za ubaguzi wa rangi' kwa maslahi ya Israel

    Mbunge wa UK: FIFA na UEFA zina 'nyuso mbili za ubaguzi wa rangi' kwa maslahi ya Israel

    Nov 14, 2024 06:08

    Mbunge wa chama cha Leba nchini Uingereza Zarah Sultana amekosoa vikali mashirikisho ya juu ya soka duniani ya FIFA na UEFA kwa kutoziadhibu timu za soka za Israel wakati utawala huo wa Kizayuni unaendeleza mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza.

  • UN: Nchi zinazohusika ziache kuzipatia silaha pande zinazopigana nchini Sudan

    UN: Nchi zinazohusika ziache kuzipatia silaha pande zinazopigana nchini Sudan

    Nov 13, 2024 11:56

    Umoja wa Mataifa umesema, kuendelea kuwasambazia silaha askari wa jeshi na wa vikosi vya wanamgambo wanaopigana nchini Sudan ndiko "kunakowezesha kufanyika uchinjaji" na lazima kukomeshwe wakati raia wa nchi hiyo wanaendelea kubeba mzigo mkubwa wa vita.

  • Viongozi wa SADC wanakutana Angola leo kujadili amani Congo DR

    Viongozi wa SADC wanakutana Angola leo kujadili amani Congo DR

    Nov 04, 2023 04:16

    Viongozi wa nchi wanachama katika Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) wanakutana leo jijini Luanda huko Agola, katika mkutano wa dharura unaojadili juhudi za jumuiya hiyo katika kuimarisha amani, ulinzi na usalama Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DEC).

  • Ijumaa tarehe 17 Februari 2023

    Ijumaa tarehe 17 Februari 2023

    Feb 17, 2023 02:46

    Leo ni Ijumaa tarehe 26 Rajab 1444 Hijria sawa na Februari 17 mwaka 2023.

  • Makundi ya waasi yanajiondoa katika mazungumzo ya amani ya Chad huko Doha, Qatar

    Makundi ya waasi yanajiondoa katika mazungumzo ya amani ya Chad huko Doha, Qatar

    Jul 18, 2022 02:29

    Makundi kadhaa ya waasi wa Chad na vyama vya kisiasa vya upinzani vimejiondoa katika mazungumzo ya amani na serikali ya kijeshi ya taifa hilo la katikati mwa Afrika, vikiishutumu serikali kuwa inataka kuvuruga juhudi za amani.

  • Shutuma za Russia kwa Marekani inayokwamisha mazungumzo ya Ukraine

    Shutuma za Russia kwa Marekani inayokwamisha mazungumzo ya Ukraine

    Mar 22, 2022 02:49

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia, Sergeĭ Viktorovich Lavrov ameishutumu vikali Marekani kwa siasa zake kuhusu vita vya Ukraine na kusema kuwa, Washington ndiyo inayokwamisha kufikiwa makubaliano baina ya Moscow na Kyiv hata katika masuala madogo kabisa. Amesema, hivi sasa Marekani inawatwisha viongozi wa Ukraine misimamo yake na ndio maana Kyiv inakwamisha kila kitu katika mazungumzo yake na Russia. 

  • Kufeli na kumalizika bila natija mazungumzo ya amani ya Libya mjini Geneva

    Kufeli na kumalizika bila natija mazungumzo ya amani ya Libya mjini Geneva

    Jul 04, 2021 10:04

    Katika hali ambayo jitihada za kuleta amani na usalama wa kudumu na kuitishwa uchaguzi wa haki utakaoyashirikisha makundi yote ya kisiasa zinaendelea, taarifa iliyotolewa hivi karibuni kuhusu Libya si ya kufurahisha hata kidogo.

  • Uingiliaji wa kigeni nchini Libya; chanzo cha kuvunjika mazungumzo ya amani

    Uingiliaji wa kigeni nchini Libya; chanzo cha kuvunjika mazungumzo ya amani

    Dec 18, 2020 02:49

    Uingiliaji wa nchi za nje katika masuala ya ndani ya Libya unaendelea katika hali ambayo duru mpya ya mazungumzo ya amani ya nchi hiyo imevunjika kutokana na tofauti zilizoibuka kuhusu namna ya kuwachagua wanachama wa baraza la mawaziri.

  • Mazungumzo ya Tunis na makubaliano ya kuitisha uchaguzi nchini Libya

    Mazungumzo ya Tunis na makubaliano ya kuitisha uchaguzi nchini Libya

    Nov 13, 2020 01:34

    Mazungumzo baina ya pande mbalimbali za Libya yanaendelea Tunis, mji mkuu wa Tunisia kwa kusimamiwa na Umoja wa Mataifa. Lengo la mazungumzo hayo ni kuleta amani ya kudumu katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika. Taarifa za karibuni kabisa zinasema kuwa, washiriki wa mazungumzo hayo wamefikia makubaliano ya kuitisha uchaguzi nchini Libya katika kipindi kisichopindukia miezi 18 ijayo.

  • Kuanza mazungumzo ya amani baina ya Waafghani nchini Qatar; shaka na matumaini yaliyopo

    Kuanza mazungumzo ya amani baina ya Waafghani nchini Qatar; shaka na matumaini yaliyopo

    Sep 13, 2020 14:10

    Baada ya miezi kadhaa ya vuta nikuvute, hatimaye mazungumzo ya kutafuta suluhu na amani kati ya wawakilishi wa serikali ya Afghanistan na kundi la Taliban yalianza jana Jumamosi katika mji mkuu wa Qatar, Doha. Mkutano wa mjini Doha baina ya mirengo ya Waafghani ni wa kwanza wa aina yake kufanyika nchini Qatar.