-
Burundi: Hatutaki mazungumzo ya amani na upinzani
Jun 11, 2016 07:35Licha ya juhudi za kimataifa na za kieneo za kutaka kutatuliwa mgogoro wa Burundi, lakini serikali ya nchi hiyo imesema haiko tayari kufanya mazungumzo na viongozi wa upinzani.
-
Mazungumzo ya mapatano; mchakato wenye uhakika wa kufeli
May 30, 2016 07:00Katika muendelezo wa radiamali na hisia zinazoonyeshwa na fikra za wananchi pamoja na makundi ya muqawama ya Palestina kuhusiana na harakati zenye lengo la kufufua mazungumzo ya mapatano kati ya Mamlaka ya Ndani na utawala wa Kizayuni, harakati ya Jihadul Islami ya Palestina, nayo pia imesisitiza kuwa mwisho wa mazungumzo hayo ni kugonga mwamba na kufeli tu.
-
Mazungumzo ya mapatano; mchakato wenye uhakika wa kufeli
May 30, 2016 04:21Katika muendelezo wa radiamali na hisia zinazoonyeshwa na fikra za wananchi pamoja na makundi ya muqawama ya Palestina kuhusiana na harakati zenye lengo la kufufua mazungumzo ya mapatano kati ya Mamlaka ya Ndani na utawala wa Kizayuni, harakati ya Jihadul Islami ya Palestina, nayo pia imesisitiza kuwa mwisho wa mazungumzo hayo ni kugonga mwamba na kufeli tu.
-
Upinzani kushiriki duru mpya ya mazungumzo ya amani ya Burundi
May 25, 2016 04:07Muungano mkuu wa upinzani nchini Burundi unaoitwa CNARED umesema uko tayari kushiriki duru mpya ya mazungumzo ya amani iwapo utaalikwa rasmi.
-
Kikao cha Arusha kwa ajili ya amani ya Burundi chaahirishwa
May 02, 2016 03:59Mazungumzo ya amani ya kuutafutia ufumbuzi mgogoro wa kisiasa nchini Burundi ambayo yalitazamiwa kuanza leo Jumatatu mjini Arusha nchini Tanzania yameahirishwa.
-
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa apongeza kuundwa serikali ya Umoja wa Kitaifa Sudan Kusini
Apr 30, 2016 04:09Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amekaribisha kuundwa serikali ya عmoja wa نitaifa nchini Sudan Kusini baada ya Rais Salva Kiir wa nchi hiyo kuliapisha baraza jipya la mawaziri na kuzitaka pande husika zikamilishe hatua zote za kuunda taasisi za serikali hiyo ya mpito.
-
Umoja wa Mataifa yazitaka pande zote nchini Syria kufungamana na mazungumzo ya amani
Apr 20, 2016 14:27Msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amezitaka pande zote hasimu nchini Syria kufungamana na mazungumzo ya amani ya Syria ya Geneva Uswisi.
-
Mazungumzo ya amani ya Yemen yaakhirishwa
Apr 18, 2016 14:35Pande zinazopigana nchini Yemen zimetangaza kuwa mazungumzo ya amani ya nchi hiyo yameakhirishwa.
-
Kugubikwa na wingu zito la hitilafu mazungumzo ya Syria Geneva
Mar 22, 2016 06:54Huku wiki moja ikiwa imepita katika muda uliowekwa wa siku 10 kwa ajili ya mazungumzo ya amani ya Syria yanayofanyika mjini Geneva, hadi sasa hakuna chochote kilichoibuka kutoka ndani ya mazungumzo hayo, bali kwa mara nyengine tena wingu la hitilafu limetanda kwenye anga ya mazungumzo baina ya pande mbili husika.
-
Mahmoud Abbas aunga mkono mpango wa 'amani' wa Ufaransa
Mar 18, 2016 16:38Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesisitiza tena juu ya uungaji mkono wake kwa mpango uliopendekezwa na Ufaransa wa kuitishwa mkutano wa kimataifa kwa ajili ya mazungumzo ya mapatano ya Mashariki ya Kati.