Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

mbaroni

  • Bin Salman atoa amri ami yake ambaye pia ni mkwewe afungwe kifungo cha nyumbani

    Bin Salman atoa amri ami yake ambaye pia ni mkwewe afungwe kifungo cha nyumbani

    Mar 11, 2021 00:49

    Muhammad bin Salman, mrithi wa kiti cha Ufalme wa Saudi Arabia ametoa amri ya kufungwa kifungo cha nyumbani ami yake ambaye pia ni mkwewe ikiwa ni muendelezo wa kamatakamata ya mwanasiasa huyo kijana dhidi ya kila anayeonekana kuwa tishio dhidi yake.

  • Israel yawakamata viongozi kadhaa wa HAMAS na mateka Wapalestina walioachiwa huru

    Israel yawakamata viongozi kadhaa wa HAMAS na mateka Wapalestina walioachiwa huru

    Feb 23, 2021 06:41

    Utawala haramu wa Kizayuni wa Israel umewatia nguvuni viongozi kadhaa wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS katika maeneo ya Ufukwe wa Magharibi wa Mto Jordan na Baitul Muqaddas pamoja na mateka Wapalestina waliochiwa huru.

  • Wafuasi wa al Bashir wazidi kutiwa mbaroni nchini Sudan

    Wafuasi wa al Bashir wazidi kutiwa mbaroni nchini Sudan

    Feb 12, 2021 07:43

    Operesheni za kuwatia mbaroni wafuasi wa serikali iliyopinduliwa ya Omar al Bashir zinaendelea baada ya makamu wa rais huyo wa zamani wa Sudan naye kutiwa pingu.

  • Mwanajeshi wa Marekani atiwa mbaroni kwa kushirikiana na magaidi wa Syria

    Mwanajeshi wa Marekani atiwa mbaroni kwa kushirikiana na magaidi wa Syria

    Nov 29, 2020 01:31

    Mahakama moja ya jimbo la New Jersy la nchini Marekani imetoa amri ya kutiwa mbaroni mwanajeshi mmoja wa nchi hiyo kwa tuhuma za kushirikiana na genge la kigaidi la Tahrir al Sham lililobadilisha jina na kujiita Jabhat al Nusra nchini Syria.

  • Wanawake wa Kipalestina zaidi ya elfu 15 watiwa mbaroni na Israel kuanzia mwaka 1967 hadi sasa

    Wanawake wa Kipalestina zaidi ya elfu 15 watiwa mbaroni na Israel kuanzia mwaka 1967 hadi sasa

    Nov 26, 2020 04:34

    Kituo kimoja cha Utafiti Maalumu wa Masuala ya Mateka wa Kipalestina kimeripoti kuwa, zaidi ya wanawake wa Kipalestina elfu 15 wametiwa mbaroni na utawala wa Kizayuni tangu mwaka 1967 hadi sasa.

  • Kiongozi wa upinzani Belarussia 'atekwa nyara' na wasiojulikana, waandamanaji 633 watiwa nguvuni

    Kiongozi wa upinzani Belarussia 'atekwa nyara' na wasiojulikana, waandamanaji 633 watiwa nguvuni

    Sep 07, 2020 14:10

    Maria Kolesnikova, kiongozi wa maandamano ya upinzani nchini Belarussia ametekwa nyara leo na watu wasiojulikana katika mji mkuu wa nchi hiyo Minsk.

  • Wafuasi 23 wa Omar al Bashir watiwa mbaroni nchini Sudan

    Wafuasi 23 wa Omar al Bashir watiwa mbaroni nchini Sudan

    May 01, 2020 13:40

    Polisi nchini Sudan wamewatia mbaroni wafuasi 23 wa rais wa zamani wa nchi hiyo, Omar al Bashir.

  •  Israel yamkamata mkurugenzi katika Shirika la Wakfu  Quds

    Israel yamkamata mkurugenzi katika Shirika la Wakfu Quds

    Mar 17, 2020 01:41

    Utawala wa Kizayuni wa Israel umemkamata Naibu Mkurugenzi wa Shirika la Wakfu wa Kiislamu katika mji wa Quds (Jerusalem) huku kukiwa na tetesi kuwa Wazayuni wanalenga kumuambukiza kirusi cha corona.

  • Mwanamfalme wa nne atiwa mbaroni nchini Saudi Arabia

    Mwanamfalme wa nne atiwa mbaroni nchini Saudi Arabia

    Mar 08, 2020 12:22

    Duru za habari za karibu na utawala wa kifalme wa Saudia zimeripoti habari ya kutiwa mbaroni mwanamfalme wa nne kwa amri ya Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa nchi hiyo.

  • Jasusi mmoja wa Marekani atiwa mbaroni mjini Beirut, Lebanon

    Jasusi mmoja wa Marekani atiwa mbaroni mjini Beirut, Lebanon

    Jan 20, 2020 13:14

    Maafisa usalama wa Lebanon wamemtia mbaroni mwandishi mmoja wa habari wa Kimarekani katika maandamano ya wananchi mjini Beirut kwa tuhuma za kuufanyia ujasusi utawala haramu wa Kizayuni.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS