-
Serikali ya Syria: Tuko tayari kwa ajili ya mazungumzo na wapinzani
Jul 24, 2016 23:46Serikali ya Syria imetangaza kuwa, iko tayari kwa ajili ya kuendelea na mazungumzo na makundi ya wanamgambo kwa shabaha ya kurejesha amani nchini humo na kuhitimisha vita vya miaka 5 katika nchi hiyo.
-
Ndege za muungano wa Marekani zaua makumi ya raia nchini Syria
Jul 19, 2016 23:01Kwa akali raia 56 wakiwamo watoto wadogo 11 wamepoteza maisha katika mashambulizi ya anga ya ndege za muungano bandia wa kupambana na magaidi unaoongozwa na Marekani nchini Syria.
-
London mwenyeji wa mkutano wa waungaji mkono wa makundi ya kigaidi Syria
Jul 19, 2016 22:59Boris Johnson, Waziri mpya wa Mashauri ya Kigeni wa Uingereza amewakaribisha mjini London mawaziri wenzake wa mashauri ya kigeni wa Marekani, Ufaransa, Ujerumani, Italia, Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu kwa ajili ya kujadili kadhia ya Syria.
-
Zarif: Mgogoro wa Syria utatuliwe kwa njia ya kisiasa
Jun 23, 2016 11:22Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa mgogoro wa Syria unaweza tu kutatuliwa kwa njia ya kisiasa.
-
Ban Ki-moon asisitiza mgogoro wa Syria kutatuliwa kwa njia ya mazungumzo
Jun 15, 2016 11:05Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa mgogoro wa Syria unapasa kupatiwa ufumbuzi kwa njia ya mazungumzo.
-
Magaidi wa ISIS waua watu 20 katika Haram ya Bibi Zainab SA, Syria
Jun 11, 2016 10:58Magaidi wa kundi la ISIS au Daesh wametekeleza hujuma ya bomu na kuua watu 20 karibu na Haram ya Bibi Zainab SA katika viungo vya mji mkuu wa Syria, Damascus.
-
UN: Iran ni muhimu katika mchakato wa amani Syria
May 26, 2016 03:02Umoja wa Mataifa umesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni nchi yenye umuhimu mkubwa katika mchakato wa kuupatia ufumbuzi mgogoro wa kisiasa nchini Syria, sambamba na kupatika amani ya kudumu katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Daesh wamalizana wenyewe kwa wenyewe, 50 wauawa Damascus
May 17, 2016 23:14Makumi ya wachama wa makundi ya kigaidi wameuawa kutokana na kushamiri malumbano miongoni mwao huko Damascus, mji mkuu wa Syria.
-
Amnesty International: Waasi wa Syria wametenda jinai za kivita
May 13, 2016 23:19Shirika la Msamaha Duniani la Amnesty International limetangaza kuwa, makundi yanayobeba silaha nchini Syria yametenda jinai za kivita.
-
Nafasi ya waungaji mkono wa ugaidi Syria katika matukio ya hivi karibuni kaskazini mwa nchi hiyo
May 10, 2016 02:20Ukiukaji wa usitishaji vita na uvamizi dhidi ya eneo la kistratijia la Khan Tuman, huko kaskazini mwa Syria ambao umefanywa na makundi ya kigaidi, kwa mara nyingine umefichua sura halisi ya magaidi na waungaji mkono wao katika fikra za walio wengi, kuhusiana na malengo yao mabaya kwa taifa hilo.