-
Misri yapinga kuundwa serikali nyingine nchini Sudan
Mar 02, 2025 12:24Misri imetangaza leo Jumapili kuwa haiafiki jaribio lolote la kuunda serikali nyingine nchini Sudan au kuchukuliwa hatua yoyote ambayo inatishia umoja na mamlaka ya kujitawala Sudan.
-
Misri yatayarisha mpango mbadala wa kukabiliana na wa Trump huko Gaza
Mar 02, 2025 07:28Vyanzo vya habari vya Misri vimeripoti kuwa Cairo imetupilia mbali mpango wa Rais wa Marekani, Donald Trump kuhusu eneo la Ukanda wa Gaza huko Palestina na sasa imetayari mpango mbadala.
-
Ijumaa, tarehe 28 Februari, 2025
Feb 28, 2025 02:42Leo ni Ijumaa tarehe 29 Shaaban 1446 Hijria sawa 28 Februari 2026.
-
Misri yapinga pendekezo la Israel la kutaka Gaza isimamiwe na Cairo
Feb 27, 2025 11:01Misri imepinga pendekezo lililotolewa na kiongozi wa upinzani wa Israel, Yair Lapid kwamba Cairo, badala ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas, iendeshe na kuusimamia kwa muda Ukanda wa Gaza; na kusisitiza kuwa mipango ya aina hiyo "haikubaliki."
-
Misri yakataa pendekezo la Wazayuni la kuitawala Gaza kwa miaka 8
Feb 26, 2025 06:40Cairo imekataa pendekezo la maafisa wa utawala za Kizayuni wa Isarel wanaotaka serikali ya Misri isimamia mamlaka ya Ukanda wa Gaza kwa miaka 8 hadi 15.
-
EAC na SADC zawateua marais wastaafu wa Afrika kusuluhisha mzozo wa Kongo DR
Feb 25, 2025 09:45Jumuiya ya Afrika Mashariki, EAC na Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika, SADC zimewateua Uhuru Kenyatta kutoka Kenya, Olusegun Obasanjo kutoka Nigeria, na Hailemariam Desalegn kutoka Ethiopia kuongoza mazungumzo ya kutatua mzozo wa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).
-
Msomi wa Misri amshambulia vikali Trump, aitaka Cairo kusimama kidete dhidi ya bwabwaja zake
Feb 13, 2025 06:51Msomi wa Misri amemshambulia vikali Rais Donald Trump wa Marekani na kutoa wito wa kutolewa jibu kali dhidi ya kiongozi huyo akisema: "Lazima tusimame imara na ngangari dhidi ya Trump, na misaada ya Marekani inapaswa kupelekwa kuzimu."
-
Mpango wa Trump kwa ajili ya Gaza; njama za kuifuta Palestina
Feb 12, 2025 06:40Sayyid Abbas Araghchi, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria upinzani mkubwa wa nchi za eneo na kimataifa dhidi ya mpango haramu wa Rais wa Marekani kuhusu Gaza na kueleza kwamba, mpango huo wa kuwahamisha kwa nguvu watu wa Palestina kutoka Gaza kwa mujibu wa mpango wa kikoloni wa "kuifuta Palestina".
-
Askari wengine 144 wa Kenya wapelekwa Haiti kusaidia kurejesha usalama na utulivu nchini humo
Feb 07, 2025 10:53Waziri wa Mambo ya Ndani wa Kenya Kipchumba Murkomen, amesema jukumu la kudhamini usalama linalotekelezwa na kikosi cha usaidizi cha mataifa kadhaa (MSS) kikiongozwa na nchi hiyo huko Haiti linazidi kuimarishwa na kupata nguvu zaidi ikiwa ni uthibitisho wa namna taifa hilo la mashariki ya Afrika linavyotimiza ahadi yake kwa Jamii ya Kimataifa.
-
Jumamosi, Mosi Februari, 2025
Feb 01, 2025 02:32Leo ni Jumamosi Pili Shaaban 1446 Hijria mwafaka na Mosi Februari 2025 Miladia.