-
Uasi ndani ya jela Msumbiji, wafungwa 33 wauawa, zaidi ya 1,500 watoroka
Dec 26, 2024 10:30Wafungwa wasiopungua 1,534 wametoroka katika jela moja iliyoko karibu na mji mkuu wa Msumbiji, Maputo katika tukio linalodaiwa kupangwa na kuhusishwa na maandamano ya machafuko yaliyozuka baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika mwezi Oktoba.
-
Marais wa Iran na Misri waonesha matumaini ya kustawi uhusiano wa pande mbili
Dec 20, 2024 13:34Marais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Misri wamefanya mazungumzo ya ana kwa ana mjini Cairo, Misri na wamepitia hatua zote chanya za kuweza kustawisha uhusiano kati ya nchi zao. Wameelezea matumaini yao kuwa hatua chanya zitaendelea hadi uhusiano wa nchi mbili utakaporejeshwa kikamilifu.
-
Rais Pezeshkian: Uhusiano mzuri baina ya nchi za Kiislamu utazima njama za maadui
Dec 19, 2024 03:43Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema "kadiri tutavyoweza kuboresha uhusiano wetu na nchi za Kiislamu ndivyo tutakavyoweza zaidi kuzima njama za maadui dhidi yetu".
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran aelekea Misri kushiriki kikao cha D-8
Dec 18, 2024 03:05Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameelekea mjini Cairo Misri kwa ajili ya kushiriki kwenye kikao cha Mawaziri wa Mambo ya Nje wa kundi la D-8 la nchi za Kiislamu zinazostawi.
-
Jumatano, 18 Disemba, 2024
Dec 18, 2024 02:39Leo ni Jumatano tarehe 16 Mfunguo Tisa Jamadithani 1446 Hijria sawa na tarehe 18 Disemba 2024 Milaadia.
-
Mgombea urais wa chama kikuu cha upinzani Namibia: Hatutayakubali matokeo ya uchaguzi
Dec 01, 2024 06:13Mgombea mkuu wa urais wa upinzani nchini Namibia, Panduleni Itula, amesema chama chake hakitatambua matokeo ya uchaguzi uliokumbwa na utata wa kuongezewa muda wa upigaji kura na kutawaliwa na fujo na madai ya uchakachuaji.
-
Mbunge wa UK: FIFA na UEFA zina 'nyuso mbili za ubaguzi wa rangi' kwa maslahi ya Israel
Nov 14, 2024 06:08Mbunge wa chama cha Leba nchini Uingereza Zarah Sultana amekosoa vikali mashirikisho ya juu ya soka duniani ya FIFA na UEFA kwa kutoziadhibu timu za soka za Israel wakati utawala huo wa Kizayuni unaendeleza mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza.
-
UN: Nchi zinazohusika ziache kuzipatia silaha pande zinazopigana nchini Sudan
Nov 13, 2024 11:56Umoja wa Mataifa umesema, kuendelea kuwasambazia silaha askari wa jeshi na wa vikosi vya wanamgambo wanaopigana nchini Sudan ndiko "kunakowezesha kufanyika uchinjaji" na lazima kukomeshwe wakati raia wa nchi hiyo wanaendelea kubeba mzigo mkubwa wa vita.
-
Jumapili, 03 Novemba, 2024
Nov 03, 2024 02:28Leo ni Jumapili tarehe Mosi Mfunguo Nane Jamadul-Awwal 1446 Hijria mwafaka na 3 Novemba 2024 Miladia.
-
Iran yaendelea na jitihada za kusimamishwa vita Ghaza na Lebanon
Oct 31, 2024 07:11Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo na mawaziri wenzake wa mambo ya nje wa Misri, Indonesia na Qatar na kujadiliana nao masuala ya kikanda na uhusiano wa pande mbili ikiwa ni muondelezo wa jitihada za Iran za kuhakikisha vita vinakomeshwa huko Ghaza na Lebanon.