-
Maelfu ya Wamisri waandamana Sinai kuiunga mkono Palestina
Apr 09, 2025 10:12Maelfu ya wananchi wa Misri kutoka majimbo mbalimbali wamekusanyika karibu na Uwanja wa Ndege wa El-Arish katika Mkoa wa Sinai Kaskazini wakitangaza kuunga mkono kadhia ya Palestina na kupinga jaribio lolote la kuwafurusha Wapalestina kutoka katika ardhi zao.
-
Serikali ya DRC na waasi wa M23 kufanya mazungumzo ya kwanza Aprili 9 nchini Qatar
Apr 02, 2025 07:08Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imepanga kufanya mazungumzo ya kwanza kabisa na kundi la waasi wa M23, April 9 mwaka huu katika mji mkuu wa Qatar, Doha kwa lengo la kufikia mwafaka wa kurejesha amani katika eneo la mashariki mwa nchi hiyo.
-
Watalii kadhaa wafa maji baada ya nyambizi kuzama katika Bahari Nyekundu
Mar 28, 2025 03:42Raia sita wa Russia wamepoteza maisha huku watalii 39 wa kigeni wakiokolewa wakati nyambizi ya kitalii ilipozama kwenye eneo la kitalii la Hurghada kwenye maji ya Bahari Nyekundu pwani ya Misri.
-
Hali yazidi kuwa tete Sudan Kusini baada ya Makamu wa Rais Machar kukamatwa, UN yaonya
Mar 27, 2025 02:26Chama kikuu cha upinzani nchini Sudan Kusini kimesema, kiongozi wake Riek Machar, ambaye ni Makamu wa Rais wa nchi hiyo amekamatwa, huku Umoja wa Mataifa ukizitaka pande zote kuheshimu makubaliano ya mwaka 2018 yaliyomaliza vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini humo.
-
Waasi wa M23 wauteka mji wa Walikale mashariki mwa Kongo DR
Mar 20, 2025 23:53Kundi la waasi la M23, linaloendesha mapigano mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, limeuteka mji wa Walikale unaopatikana katika eneo lenye utajiri mkubwa wa madini huko Kivu Kaskazini.
-
Misri, Saudia zalaani Israel kuzuia misaada ya kibinadamu kuingia Gaza
Mar 03, 2025 03:37Hatua ya Israel ya kuzuia kuingizwa misaada ya kibinadamu katika Ukanda wa Gaza imelaaniwa na Misri na Saudi Arabia, huku nchi mbili hizo zikisisitiza kuwa kitendo hicho ni ukiukaji wa wazi wa sheria za kimataifa.
-
Misri: Amani haitapatikana pasi na kuundwa nchi huru ya Palestina
Mar 02, 2025 22:53Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri amesema kuwa, hakutakuwa na usalama katika eneo la Asia Magharibi (Mashariki ya Kati) bila ya kuasisiwa taifa la Palestina.
-
Misri yapinga kuundwa serikali nyingine nchini Sudan
Mar 02, 2025 08:54Misri imetangaza leo Jumapili kuwa haiafiki jaribio lolote la kuunda serikali nyingine nchini Sudan au kuchukuliwa hatua yoyote ambayo inatishia umoja na mamlaka ya kujitawala Sudan.
-
Misri yatayarisha mpango mbadala wa kukabiliana na wa Trump huko Gaza
Mar 02, 2025 03:58Vyanzo vya habari vya Misri vimeripoti kuwa Cairo imetupilia mbali mpango wa Rais wa Marekani, Donald Trump kuhusu eneo la Ukanda wa Gaza huko Palestina na sasa imetayari mpango mbadala.
-
Ijumaa, tarehe 28 Februari, 2025
Feb 27, 2025 23:12Leo ni Ijumaa tarehe 29 Shaaban 1446 Hijria sawa 28 Februari 2026.