Pars Today
Mwana wa mkuu wa zamani wa jeshi la Misri ambaye ni mpinzani mkuu wa Rais Abdel Fattah el Sisi katika uchaguzi ujao wa rais ametiwa mbaroni wiki moja tu tangu alipoweka kizuizini baba yake.
Uhusiano wa Misri na Uturuki umeharibika kuhusiana na suala la uchoraji mipaka katika Bahari ya Mediterania.
Hossein Amir-Abdollahian, msaidizi maalumu wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa amesisitizia umuhimu wa kuimarishwa uhusiano wa mabunge ya nchi hii na Misri.
Rais Abdul Fattah el Sisi wa Misri ametembelea Oman na kukutana na kiongozi wa nchi hiyo, Sultan Qaboos.
Rais wa Misri amekabiliwa na ukosoaji mkubwa kufuatia kufichuliwa ushirikiano wa siri kati ya serikali yake na utawala wa Kizayuni.
Duru za Misri zimetangaza kuwa, watu watatu wameuawa na wengine 6 kujeruhiwa katika tukio la karibuni kabisa la kushambuliwa polisi wa Misri, kusini mwa al Arish, makao makuu ya jimbo la Sinai Kaskazini, nchini Misri.
Idaya ya usalama nchini Misri imewatia mbaroni makamanda 23 miongoni mwa wafuasi wa Sami Hafez Anan, mkuu wa zamani wa majeshi nchini humo ambaye alitangaza azma yake ya kutaka kugombea uchaguzi wa rais wa nchi hiyo.
Katika kile kinachoonekana na mwendelezo wa hukumu za kidhalimu dhidi ya wafuasi wa harakati ya Ikhwanul Muslimin ya Misri, Mahakama ya Jinai ya Cairo imewahukumu kifungo cha maisha jela wanachama sita wa harakati hiyo.
Makumi ya wanaharakati wa kisiasa wa Misri wametia saini taarifa ya kususia uchaguzi ujao wa rais nchini humo wakisema kuwa, hautakuwa na sifa za awali kabisa za uchaguzi huru na wa haki.
Rais Abdel Fattah el Sisi wa Misri amesema nchi yake imefurahishwa na kuboreka uhusiano baina ya Sudan na Ethiopia katika nyuga tofauti.