Pars Today
Hossein Amir-Abdollahian, msaidizi maalumu wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa amesisitizia umuhimu wa kuendelea kuungwa mkono kadhia ya Palestina.
Serikali ya Sudan kwa mara nyingine imewasilisha mashitaka yake dhidi ya Misri katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa baada ya Cairo kudhibiti eneo la Hala'ib linalozozaniwa.
Duru za kiusalama za Misri zimetangaza habari ya kuuawa magaidi kadhaa katika opereseheni iliyofanywa na jeshi la nchi hiyo mashariki mwa mji wa al Arish, makao makuu wa jimbo la Sinai Kaskazini.
Uhusiano wa Sudan na Misri umezidi kuharibika baada ya serikali ya Khartoum kumwita nyumbani balozi wake aliyeko Cairo Misri.
Mamlaka ya Magereza ya Misri imetekeleza hukumu ya kuwanyonga watu watano wakiwemo wanne waliopatikana na hatia ya kutekeleza mashambulizi ya bomu yalioua maafisa usalama miaka miwili iliyopita.
Rais aliyeuzuliwa madarakani wa Misri, Muhammad Mursi amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela kwa tuhuma za kuvivunjia heshima vyombo vya mahakama vya nchi hiyo.
Wizara ya Afya ya Misri imetangaza kuwa, watu 10 wakiwemo askari kadhaa wa usalama wameuawa katika hujuma ya watu waliokuwa na silaha iliyolenga kanisa moja katika eneo la Halwan kusini mwa jiji la Cairo.
Wanajeshi sita wa Misri wameuawa katika shambulizi la bomu lililotokea jana Alkhamisi katika eneo linalokumbwa na misukosuko la Rasi ya Sinai, kaskazini mwa nchi hiyo.
Afisa wa zamani katika jeshi la Misri amesema kuwa Cairo iko tayari kujibu tishio kuhusu hatua ya Sudan ya kuipatia Uturuki kisiwa cha Suakin.
Mashirika saba ya kutetea haki za binadamu nchini Misri yamekosoa vikali hatua ya Misri kuwanyonga watu 15 waliopatikana na hatia ya kufanya mashambulizi ya kigaidi yaliyoua askari usalama huko kaskazini mwa Peninsula ya Sinai.