Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Misri

  • Wamisri waanza uchaguzi wa Rais, al Sisi hakabiliwi na upinzani wa maana

    Wamisri waanza uchaguzi wa Rais, al Sisi hakabiliwi na upinzani wa maana

    Mar 26, 2018 10:37

    Wamisri leo Jumatatu wameanza kupiga kura kumchagua Rais mpya katika uchaguzi wa rais usio na upinzani wa maana huku Abdel Fattah al Sisi akitazamiwa kuibuka mshindi baada ya serikali yake inayoungwa mkono na jeshi kuwafunga jela na kuwatisha wagombea wote wakuu waliokuwa wakitazamiwa kuchuana naye katika uchaguzi huu.

  • Hadithi ya Uongofu (111)

    Hadithi ya Uongofu (111)

    Mar 26, 2018 06:09

    Assalaamu alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya mfulluizo huu wa Hadithi ya Uongofu.

  • Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu yaanza nchini Misri

    Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu yaanza nchini Misri

    Mar 24, 2018 21:48

    Mashindano ya 25 ya kimataifa ya Qur'ani Tukufu yalianza jana Jumamosi tarehe 24 Machi, 2018 nchini Misri yakishirikisha wajumbe kutoka nchi 50 duniani.

  • Sudan yasema, ina azma ya kutatua hitilafu zake na Misri

    Sudan yasema, ina azma ya kutatua hitilafu zake na Misri

    Mar 19, 2018 11:52

    Rais wa Sudan amesema kuwa nchi yake imedhamiria kwa dhati kutatua hitilafu zilizopo kati ya Khartoum na Cairo.

  • Kuanza uchaguzi wa rais nchini Misri, viashiria hasi vya uchaguzi

    Kuanza uchaguzi wa rais nchini Misri, viashiria hasi vya uchaguzi

    Mar 17, 2018 00:18

    Uchaguzi wa rais wa Misri ulianza jana Ijumaa machi 16 kwa Wamisri wanaoishi katika nchi 124 za kigeni na utaendelea kwa muda wa siku tatu.

  • Uchaguzi wa rais Misri waanza nje ya nje, wapinzani wataka wananchi wasusie

    Uchaguzi wa rais Misri waanza nje ya nje, wapinzani wataka wananchi wasusie

    Mar 16, 2018 00:53

    Uchaguzi wa rais wa Misri umenza leo Ijumaa nje ya nchi hiyo huku wapinzani wa serikali ya jenerali mstaafu, Abdul Fattah al Sisi wakiwataka wananchi wasusie zoezi hilo kwa hoja kwamba, halitakuwa huru na la wazi.

  • Magaidi wa Daesh wanatumia kadi za simu za Israel nchini Misri

    Magaidi wa Daesh wanatumia kadi za simu za Israel nchini Misri

    Mar 14, 2018 04:30

    Mtandao mmoja wa Intaneti wa Israel umesema kuwa, magaidi wa genge la wakufurishaji la Daesh walioko katika jangwa la Sinai la kaskazini mwa Misri, wanatumia kadi za simu za mashirika ya Kizayuni kufanya operesheni zao ndani ya ardhi ya Misri.

  • Jeshi la Misri laanzisha maneva ya pamoja na jeshi la Ufaransa katika Bahari Nyekundu

    Jeshi la Misri laanzisha maneva ya pamoja na jeshi la Ufaransa katika Bahari Nyekundu

    Mar 14, 2018 03:58

    Jeshi la Misri limeanzisha maneva ya kijeshi kwa kushirikiana na jeshi la Ufaransa katika maji ya Bahari Nyekundu, chini ya ushirikiano wa kijeshi wa nchi mbili.

  • Mkutano wa Miujiza ya Kisayansi wa Qur'ani waanza Misri

    Mkutano wa Miujiza ya Kisayansi wa Qur'ani waanza Misri

    Mar 13, 2018 12:11

    Mkutano wa Kumi wa Muujiza wa Kisayansi katika Qur'ani na Suna umeanza katika Chuo Kikuu cha Mansoura kilichoko umbali wa kilomita 120 kaskazini mashariki mwa mji wa Cairo nchini Misri.

  • Rais wa Sudan aonana na Mkuu wa Shirika la Ujasusi la Misri

    Rais wa Sudan aonana na Mkuu wa Shirika la Ujasusi la Misri

    Mar 11, 2018 22:59

    Rais Omar al Bashir wa Sudan ameonana na Mkuu wa Shirika la Ujasusi la Misri mjini Khartoum na kujadiliana naye masuala mbalimbali yanayozihusu nchi hizo mbili.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS