Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Misri

  • Misri yaweka vikwazo vipya dhidi ya Qatar

    Misri yaweka vikwazo vipya dhidi ya Qatar

    Jul 08, 2017 12:23

    Misri imeifungia Qatar njia zote za majini zinazotumiwa na meli za Qatar isipokuwa mfereji wa Suez.

  • Hatua za baadaye za Saudia na waitifaki wake dhidi ya Qatar zafichuliwa

    Hatua za baadaye za Saudia na waitifaki wake dhidi ya Qatar zafichuliwa

    Jul 07, 2017 22:22

    Mwakilishi mmoja wa Bunge la Misri amefichua baadhi ya hatua zinazotarajiwa kuchukuliwa katika siku zijazo na Saudi Arabia, Imarati, Bahrain na Misri dhidi ya Qatar.

  • Iran yalaani shambulizi la kigaidi Sinai, yataka dunia kushirikiana zaidi

    Iran yalaani shambulizi la kigaidi Sinai, yataka dunia kushirikiana zaidi

    Jul 07, 2017 22:21

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani shambulizi la kigaidi lililofanyika jana katika eneo la Sinai nchini Misri na kuua makumi ya watu.

  • Makumi wauawa katika shambulio la kigaidi Sinai, Misri

    Makumi wauawa katika shambulio la kigaidi Sinai, Misri

    Jul 07, 2017 10:48

    Wanajeshi wasiopungua kumi wameuawa katika shambulio la kigaidi lililofanyika leo huko Sinai kaskazini mwa Misri.

  • Misri yashutumiwa kwa kuwatia mbaroni makumi ya wanachuo wa kigeni

    Misri yashutumiwa kwa kuwatia mbaroni makumi ya wanachuo wa kigeni

    Jul 07, 2017 02:08

    Shirika la kimataifa la haki za binadamu la Human Rights Watch limeishutumu Misri kwa kuwatia mbaroni makumi ya wanachuo Waislamu kutoka China.

  • Wapinzani wa serikali ya Misri wanapanga kumuondoa madarakani al Sisi

    Wapinzani wa serikali ya Misri wanapanga kumuondoa madarakani al Sisi

    Jul 05, 2017 10:06

    Mamia ya wapinzani wa serikali ya Misri walioko nje ya nchi wamenzisha kampeni ya kuunga mkono harakati ya kumuondoa madarakani Rais wa sasa wa nchi hiyo, Abdul Fattah al Sisi.

  • Raia 41 wa Misri wafikishwa mahakamani kwa kufanya biashara ya viungo vya binadamu

    Raia 41 wa Misri wafikishwa mahakamani kwa kufanya biashara ya viungo vya binadamu

    Jul 04, 2017 23:35

    Ofisi ya Mwendesha Mashtaka wa Misri imewaarifisha mahakamani raia 41 wa nchi hiyo wakiwemo madaktari na wauguzi wanaotuhumiwa kufanya biashara ya viungo vya binadamu.

  • Uingereza: Tunaiunga mkono Saudi Arabia juu ya Qatar

    Uingereza: Tunaiunga mkono Saudi Arabia juu ya Qatar

    Jul 04, 2017 03:35

    Waziri Mkuu wa Uingereza Theresa May amesema kuwa anaiunga mkono Saudia katika mgogoro na Qatar.

  • Misri na Marekani zaendeleza tuhuma zao dhidi ya Qatar

    Misri na Marekani zaendeleza tuhuma zao dhidi ya Qatar

    Jul 04, 2017 03:25

    Kwa mara nyingine Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Marekani na Misri wameituhumu Qatar kwamba, inaunga mkono ugaidi, kuingilia masuala ya ndani ya nchi majirani na kufanya mahusiano na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Kiongozi wa zamani wa Ikhwanul Muslimin aaga dunia katika jela ya Misri

    Kiongozi wa zamani wa Ikhwanul Muslimin aaga dunia katika jela ya Misri

    Jul 02, 2017 03:28

    Mwakilishi wa harakati ya Ikhwanul Muslimin ya Misri (Muslim Brotherhood) ametangaza kuwa kiongozi wa zamani wa harakati hiyo, Mohammed Mahdi Akef ameaga dunia akiwa katika jela ya utawala wa nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS