Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Misri

  • Rais wa Misri alitaka jeshi kulinda usalama wa maeneo muhimu

    Rais wa Misri alitaka jeshi kulinda usalama wa maeneo muhimu

    Apr 10, 2017 02:38

    Rais Abdel Fattah el-Sisi wa Misri ametaka kuwekwa haraka vikosi vya ulinzi katika maeneo muhimu kwa ajili ya kulisaidia jeshi la polisi katika kulinda usalama wa miundombinu muhimu kwenye mikoa yote ya nchi hiyo.

  • Hizbullah na Hamas zalaani hujuma za kigaidi dhidi ya makanisa huko Misri

    Hizbullah na Hamas zalaani hujuma za kigaidi dhidi ya makanisa huko Misri

    Apr 09, 2017 23:48

    Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya nchini Lebanon imelaani vikali miripuko ya kigaidi katika makanisa mawili nchini Misri iliyosababisha mauaji, na kwamba hujuma hizo dhidi ya Wakristo ni za kishenzi.

  • Wimbi la mlipuko wa mabomu dhidi ya makanisa laua makumi nchini Misri

    Wimbi la mlipuko wa mabomu dhidi ya makanisa laua makumi nchini Misri

    Apr 09, 2017 09:27

    Watu wasiopungua 140 wameuawa na kujeruhiwa katika wimbi la mashambulizi ya mabomu yaliyolenga makanisa nchini Misri hii leo.

  • Mahakama ya Misri yatengua uamuzi uliozuia kutolewa visiwa vya nchi hiyo kwa Saudia

    Mahakama ya Misri yatengua uamuzi uliozuia kutolewa visiwa vya nchi hiyo kwa Saudia

    Apr 03, 2017 00:08

    Mahakama moja ya Misri imetengua uamuzi uliotolewa miezi kadhaa iliyopita na mahakama nyingine ya nchi hiyo ikipinga kutolewa visiwa viwili vya nchi hiyo kwa utawala wa Saudi Arabia

  • Mufti wa Misri: Fatwa 3000 zimetolewa kupinga kuishi pamoja Waislamu na Wakristo

    Mufti wa Misri: Fatwa 3000 zimetolewa kupinga kuishi pamoja Waislamu na Wakristo

    Apr 01, 2017 11:55

    Mufti wa Misri amesema kuwa asilimia 90 ya hukumu na fatwa za watu wanaofurutu ada zinawachochea watu kwenda kinyume na maamrisho ya Mwenyezi Mungu na kuzusha mifarakano baina ya Waislamu na Wakristo.

  • Ijumaa, Machi 31, 2017

    Ijumaa, Machi 31, 2017

    Mar 30, 2017 21:57

    Leo ni Ijumaa tarehe Pili Rajab 1438 Hijria inayosadifiana na tarehe 31 Machi, 2017 Milaadia.

  • Magaidi watano wauawa, 16 watiwa mbaroni kaskazini mwa Misri

    Magaidi watano wauawa, 16 watiwa mbaroni kaskazini mwa Misri

    Mar 26, 2017 09:11

    Jeshi la Misri leo limetoa taarifa na kusema kuwa, limefanikiwa kuua magaidi watano na kuwatia mbaroni wengine 16 katika operesheni maalumu iliyofanywa na jeshi hilo kaskazini mwa Misri.

  • Wanajeshi kadhaa wa Misri wauawa katika mripuko wa bomu Sinai

    Wanajeshi kadhaa wa Misri wauawa katika mripuko wa bomu Sinai

    Mar 26, 2017 02:47

    Wanajeshi wanne wa Misri wameuawa baada ya gari lao kulengwa kwa bomu katika Peninsula ya Sinai.

  • Askari 10 wa Misri wauawa katika hujuma ya bomu Sinai

    Askari 10 wa Misri wauawa katika hujuma ya bomu Sinai

    Mar 24, 2017 03:06

    Wanajeshi zaidi ya 10 wa Misri wameuawa baada ya gari walimokuwa kulengwa kwa shambulio la bomu katikati mwa Peninsula ya Sinai.

  • Magaidi watano waangamizwa kaskazini mwa Misri

    Magaidi watano waangamizwa kaskazini mwa Misri

    Mar 23, 2017 03:11

    Magaidi wasiopungua watano wameuliwa na wanajeshi wa Misri katika eneo la Jabal al Hilal, kusini mwa mji wa al Arish, katika mkoa wa Sinai Kaskazini.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS