-
Rais wa Misri akutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina, Cairo katika anga ya hitilafu
Mar 21, 2017 04:04Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina, Mahmoud Abbas amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Abdel Fattah el-Sisi wa Misri huko mjini Cairo, huku kukiwepo na tofauti baina yao.
-
Al Nahdha: Tuko tayari kuipatanisha serikali ya Misri na Ikhwanul Muslimin
Mar 13, 2017 03:27Mkuu wa harakati ya al Nahdha ya Tunisia amesema kuwa, harakati hiyo iko tayari kulipatanisha kundi la Ikhwanul Muslimin la Misri na serikali ya nchi hiyo.
-
Watu nusu milioni kuongezeka Cairo, Misri mwaka huu
Mar 12, 2017 14:59Idadi ya watu katika mji mkuu wa Misri, Cairo, itaongezkea kwa nusu milioni mwaka huu, hili likiwa ni ongezeko kubwa zaidi la idadi ya watu mjini duniani, jambo ambalo limezidisha mashinikizo katika uchumi wa Misri ambao ungali unajaribu kujikwamua kutoka katika mgogoro wa kisiasa wa miaka sita sasa.
-
Misri yasisitiza udharura wa kurejea Syria katika Arab League
Mar 11, 2017 12:11Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri amesema kuwa, mgogoro wa Syria unakaribia kupata ufumbuzi wa kisiasa na kusisitiza kuwa upo udharura wa kurejea nchi hiyo katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League).
-
Wamisri waandamana nchi nzima dhidi ya serikali kulalamikia kuwekwa mgao wa mikate
Mar 09, 2017 04:22Raia wa Misri wamefanya maandamano dhidi ya serikali katika mikoa tofauti ya nchi hiyo, kulalamikia hatua ya kuwekwa mgao katika upatikanaji wa mikate nchini humo.
-
Jumatano, 8 Machi, 2017
Mar 07, 2017 23:51Jumatano tarehe 9 Jamadithani 1438 Hijria sawa na Machi 8, 2017
-
Hakuna anayesalimika na mashambulizi ya magaidi nchini Misri
Mar 07, 2017 01:01Makumi ya familia za Wakristo zimelazimika kukimbia makazi yao katika mkoa wa Sinai Kaskazini nchini Misri kutokana na mashambulizi ya watu wenye silaha.
-
Al-Sisi: Misri inapongeza juhudi za jeshi la Syria katika kuwatokomeza magaidi
Mar 03, 2017 00:40Rais Abdel Fattah el-Sisi wa Misri amesema kuwa, sambamba na nchi yake kufungamana na misingi ya kutoingilia masuala ya ndani ya Syria, pia inaunga mkono juhudi za jeshi la nchi hiyo katika kuwatokomeza magaidi.
-
El Sisi atetea siasa zake za kupambana na magenge ya kigaidi
Mar 01, 2017 03:48Rais Abdul Fattah el Sisi wa Misri ametetea stratijia na mikakati ya serikali yake katika kupambana na magenge ya kigaidi kwenye mkoa wa Sinai Kaskazini.
-
Jumanne, 28 Februari, 2017
Feb 27, 2017 23:13Leo ni Jumanne tarehe Mosi Jamadithani 1438 Hijria sawa na 28 Februari, 2017