-
Ujumbe wa Hamas umeondoka Cairo kwa ajili ya mashauriano zaidi
Apr 30, 2024 11:12Ujumbe wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) umeondoka Cairo, mji mkuu wa Misri ili kufanya mashauriano zaidi kuhusu pendekezo jipya lililotolewa kwa ajili ya kubadilishana mateka.
-
Ufaransa, Misri na Jordan zapinga shambulio la Rafah na kuunga mkono usitishaji vita Gaza
Apr 01, 2024 02:17Mkutano wa pande tatu wa mawaziri wa mambo ya nje wa Misri, Jordan na Ufaransa ulifanyika Jumamosi Cairo, mji mkuu wa Misri, kuhusiana na matukio ya hivi karibuni katika vita vya Gaza na mashauriano ya kusitisha mapigano hayo.
-
Misri: Operesheni ya kijeshi ya Israel huko Rafah itakuwa na matokeo mabaya
Mar 19, 2024 02:38Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri amesema Marekani inapasa kuileza wazi Israel kuhusu taathira hasi na matokeo mabaya ya utawala wa Kizayuni kuushambulia kijeshi mji wa Rafah, kusini mwa Ukanda wa Gaza.
-
Jumatatu tarehe 18 Machi 2024
Mar 18, 2024 02:32Leo ni Jumatatu tarehe 7 Ramadhani 1445 Hijria inayosadifiana na tarehe 18 Machi 2024.
-
Mahakama ya Misri yamhukumu kifo kiongozi wa Ikhwanul Muslimin na wenzake 7
Mar 05, 2024 07:40Mahakama ya Misri imemhukumu kifo kiongozi wa chama cha Ikwanul Muslimin (Muslim Brotherhood), Mohamed Badie, na viongozi wengine saba wa harakati hiyo baada ya kuwatia hatiani kwa eti kupanga vitendo vya ukatili kwa "madhumuni ya kigaidi" wakati wa mgomo wa Cairo mwaka 2013.
-
Misri yatishia kusimamisha Mkataba wa Camp David endapo Israel itashambulia Rafah
Feb 12, 2024 10:19Misri imetishia kusitisha mkataba wa amani wa Camp David iliosaini na utawala wa Kizayuni wa Israel iwapo wanajeshi wa utawala huo ghasibu watapelekwa katika mji wa mpakani wa Gaza uliofurika watu wa Rafah na kusema mapigano huko yanaweza kulazimisha kufungwa kwa njia kuu ya kusambazia misaada katika eneo hilo.
-
Misri yaionya Israel kutoudhibiti Ukanda wa Philadelphi kwenye mpaka wa Palestina
Jan 23, 2024 05:34Misri imeuonya utawala wa Kizayuni wa Israel kwamba jaribio lolote la kuikalia kwa mabavu sehemu ya ardhi inayotenganisha eneo la Wapalestina lililozingirwa la Ukanda wa Gaza na Misri, linalojulikana kama Korido ya Philadelphi, litakuwa ni "tishio kubwa" kwa uhusiano kati ya pande hizo mbili.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran kuitembelea Misri karibuni
Jan 22, 2024 12:05Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Hossein Amir-Abdollahian anataziwa kuitembelea Misri ndani ya siku chache zijazo, huku utawala wa Kizayuni ukiingiwa na kiwewe kutokana na kuendelea kuimarika uhusiano wa Tehran na Cairo.
-
"Iran na Misri kuhuisha uhusiano wao wa kidiplomasia karibuni"
Dec 30, 2023 12:09Afisa wa ngazi za juu wa Misri amesema nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika na Iran zinatazamiwa kufufua kikamilifu uhusiano wa pande mbili wa kidiplomasia, na hata kubadilishana mabalozi.
-
Kuongezeka idadi ya watu wanaotumia intaneti duniani mwaka 2023
Dec 28, 2023 09:31Karibuni wasikilizaji wapendwa wa Idhaa ya Kiswahili Redio Tehran katika kipindi chetu cha makala ya wiki ambapo tutatupia jicho ongezeko la watumiaji wa intaneti duniani mwaka 2023.