-
Misri yatangaza tarehe ya uchaguzi wa rais, wagombea 7 kuchuana
Sep 26, 2023 13:52Mamlaka ya Kitaifa ya Uchaguzi ya Misri imetengaza kuwa uchaguzi wa rais nchini humo utafanyika mwezi Disemba mwaka huu.
-
Ethiopia: Tumeanza duru mpya ya mazungumzo na Misri na Sudan kuhusu Bwawa Kuu la Renaissance
Sep 23, 2023 14:08Ethiopia imesema imeanza duru ya pili ya mazungumzo na Misri na Sudan kuhusu bwawa lenye utata lililojengwa na nchi hiyo kwenye mto Nile na kuwa chanzo cha mvutano wa muda mrefu kati ya mataifa hayo matatu.
-
Al Burhan akutana na al Sisi mjini Cairo katika safari ya kwanza nje ya nchi baada ya kuanza vita Sudan
Aug 29, 2023 11:51Mkuu wa Baraza la Utawala wa Sudan, Abdel Fattah Al-Burhan, leo Jumanne amewasili nchini Misri, katika ziara yake ya kwanza ya kigeni tangu kuanza mapigano ya ndani nchini Sudan yapata miezi 5 iliyopita, huku mapigano yakiendelea kati ya Jeshi la Sudan na Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) katika mji wa Khartoum na maeneo mengine.
-
Misri yamkamata mwandishi habari aliyefichua utambulisho wa maafisa waliokuwa kwenye ndege iliyokamatwa Zambia
Aug 21, 2023 10:17Mtandao wa Middle East Eye umeripoti kuwa askari usalama wa Misri wamemkamata mwandishi wa habari Karim Al-Asaad, kwa sababu ya kuchapisha makala kwenye vyombo vya habari kuhusu maafisa wa serikali ya Cairo waliokuwa kwenye ndege ya kibinafsi, ambayo ilikamatwa na mamlaka ya Zambia katika wiki iliyopita.
-
Kukataa Misri ombi la Marekani la kuipa silaha Ukraine
Aug 13, 2023 10:31Misri imekataa ombi la Marekani la kuipa silaha Ukraine ikiwa ni katika sehemu ya mkakati wa Cairo ya kutopendelea upande wowote kwenye vita vya Ukraine na Russia.
-
Misri: Tuna hamu ya kuwa na uhusiano chanya na Iran
Jul 20, 2023 03:42Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Misri ameitaja Iran kama nchi kubwa na yenye ushawishi katika eneo na kusisitiza kuwa, maingiliano baina ya nchi mbili hizi hayajawahi kuvunjika.
-
Uturuki na Misri zateua mabalozi na kurejesha kikamilifu uhusiano wao wa kidiplomasia
Jul 04, 2023 10:18Uturuki na Misri zimeteua mabalozi wa pande mbili ili kurejesha rasmi uhusiano wao katika ngazi ya juu ya kidiplomasia.
-
Al Azhar yalaani hujuma ya Wazayuni na kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu
Jun 25, 2023 07:59Taasisi ya al Azhar nchini Misri imelaani vikali kitendo cha walowezi wa Kiyahudi cha kuchoma moto na kuvunjia heshima Qur'ani Tukufu.
-
Misri yakosoa EU kufuta mkutano baada ya Syria kurejea Arab League
Jun 19, 2023 10:48Misri imekosoa uamuzi wa Umoja wa Ulaya (EU) wa kufuta mkutano uliotazamiwa kufanyika wiki ijayo wa ngazi ya mawaziri baina yake na Jumuiya ya Nchi za Kiarabu, kutokana na Syria kurejeshewa uanachama kwenye taasisi hiyo ya Arab League.
-
Jumapili, tarehe 18 Juni, 2023
Jun 18, 2023 04:24Leo ni Jumapili tarehe 29 Dhulqaada 1444 Hijria sawa na tarehe 18 Juni 2023.