-
Televisheni ya Kiebrania ya Iran yazua wasiwasi katika vyombo vya habari vya Israel
Dec 04, 2025 12:03Press TV ya Iran imezindua kitengo cha lugha ya Kiebrania jambo ambalo limezua hofu katika duru za vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni wa Israel kwani hatua hiyo inaonekana kama sehemu ya juhudi za kimkakati za Iran kuathiri maoni ya Waisraeli huku kukiwa na vita vya simulizi vinavyozidi kupamba moto.
-
Watumiaji X: Kutoka Afghanistan hadi Venezuela; mlolongo wa uingiliaji kati wa Marekani unaendelea
Oct 17, 2025 14:11Watumiaji wa mtandao wa kijamii wa "X" wamesisitiza kuwa lengo la Marekani katika kuchagua chaguo la kijeshi kuhusu Venezuela ni kufanya uporaji katika nchi hiyo ya Amerika Kusini.
-
Watumiaji wa X: Mkutano wa Sharm al-Sheikh ulikuwa mkutano wa makubaliano ya amani ya kichekesho zaidi duniani
Oct 15, 2025 14:27Watumiaji wa mtandao wa kijamii wa X wameuelezea mkutano wa Sharm al-Sheikh kuwa ni onyesho la nguvu na hadaa zenye lengo la kupuuza haki za watu wa Palestina.
-
Watumiaji wa X: Hamas imehuisha jina Palestina/ Israel ndilo neno linalochukiwa zaidi duniani
Oct 14, 2025 04:25Katika radiamali kwa makubaliano ya kuhitimisha vita huko Gaza, watumiaji wa mtandao wa kijamii wa "X" wamesema utawala wa Kizayuni umeshindwa kufikia malengo yake dhidi ya muqawama wa Kiislamu wa Palestina, "Hamas."
-
Radiamali ya watumiaji X kwa mpango wa Marekani wa kusitisha vita huko Gaza: hatuamini, Trump si mwaminifu
Oct 04, 2025 09:44Watumiaji wa mtandao wa kijamii wa X wamesisitiza haja ya kuwa macho dhidi ya mpango wa Rais wa Marekani wa kusitisha vita huko Gaza.
-
Watumiaji X katika kuunga mkono msafara wa Sumud: Kila meli ni sauti ya kutaka uhuru wa Palestina
Oct 03, 2025 07:02Watumiaji wa mtandao wa kijamii wa "X" wameuita msafara wa kimataifa wa meli nyingi wa Sumud kuwa meli ya ukarimu na utu wa binadamu.
-
Watumiaji wa X: Hamas inawakilisha watu wa Palestina
Sep 28, 2025 13:33Watumiaji wa mtandao wa kijamii wa X wameitaja harakati ya muqawama wa Palestina "Hamas" mwakilishi wa watu wa Palestina wanaotetea taifa lao.
-
Machapisho yaliyochaguliwa ya watumiaji wa X; Kutoka salamu za ghera kwa mwanamke wa Kiirani hadi kukosoa ushirikiano wa Magharibi na utawala wa Kizayuni.
Jun 08, 2025 13:00Watumiaji wa mtandao wa kijamii wa "X" wametoa radiamali zao kwa masuala mbalimbali ya kimataifa katika jumbe zao.
-
Seyyed Abbas Araghchi: Iran inalaani jaribio lolote la kudhuru umoja wa Waislamu
May 28, 2025 04:07Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Tehran inalaani vikali jaribio lolote la kushambulia umoja wa Waislamu.
-
"Dunia bila Israeli ni mahali pazuri zaidi kwa watoto"; radiamali ya watumiaji X kwa kilio cha mtoto wa Kipalestina katika shule iliyolipuliwa huko Gaza
May 28, 2025 03:57Msichana wa Kipalestina aliokolewa kimiujiza katika shule moja kwenye Ukanda wa Gaza ambayo ilikuwa ikiteketea kabisa na moto na vilio vya wanawake na watoto vilisikika.