-
Watu kadhaa wauawa katika mripuko wa bomu karibu na mji mkuu wa Somalia
Jul 13, 2017 08:08Habari kutoka Somalia zinaripoti kwamba, watu 11 wameuawa na kujeruhiwa katika mripuko wa bomu uliotokea asubuhi ya leo karibu na mji mkuu wa nchi hiyo, Mogadishu.
-
Mlipuko wa bomu wauwa watu 5 na kujeruhi 18 Benghazi, Libya
Jul 07, 2017 15:09Watu kadhaa wameuawa na wengine kujeruhiwa baada ya bomu kulipuka kando ya barabara inayotumiwa na vikosi vya jeshi la Libya katika mji wa Benghazi, mashariki mwa nchi hiyo.
-
Wanane wauawa na kujeruhiwa karibu na Mogadishu Somalia
Jul 02, 2017 15:13Watu wanane wameripoti kuuawa na kujeruhiwa katika mripuko wa bomu uliotokea karibu na Mogadishu, mji mkuu wa Somalia.
-
Mripuko wa kutisha watokea melini katika pwani ya Puntland, Somalia
Jun 27, 2017 15:43Duru za habari nchini Somalia zimeripoti habari ya kutokea mripuko mkubwa ndani ya meli katika pwani ya Puntland, kaskazini mashariki mwa Somalia.
-
Watu 20 wauawa katika mlipuko mazikoni Kabul, Afghanistan
Jun 03, 2017 15:11Watu wasiopungua 20 wameuawa katika mlipuko wa kigaidi wakiwa katika maziko katika kitongoji cha mji mkuu wa Afghanistan, Kabul.
-
Iran yalaani hujuma ya Kabul, idadi ya waliouawa yapindukia 80
May 31, 2017 15:00Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali shambulizi la kigaidi lililoutikisa mji mkuu wa Afghanistan, Kabul na kuuwa makumi ya watu na kujeruhi wengine wengi.
-
Idadi ya waliouawa na kujeruhiwa katika shambulio la kigaidi Iraq yafikia 115
May 30, 2017 15:40Polisi ya Iraq imetangaza kuwa idadi ya watu waliouawa na kujeruhiwa katika shambulio la kigaidi lililofanywa usiku wa kuamkia leo kwenye eneo la Al-Karrada katika mji mkuu wa nchi hiyo Baghdad imeongezeka na kufikia 115.
-
19 Wauawa katika hujuma ya kigaidi Manchester, Uingereza
May 23, 2017 03:35Watu wasiopungua 19 wameuawa katika mji wa Manchester nchini Uingereza kufuatia mlipuko mkubwa unaoshukiwa kuwa hujuma ya kigaidi.
-
Wanajeshi 3 wauawa wakitegua bomu nchini Somalia
May 17, 2017 13:54Kwa akali askari watatu wa jeshi la Somalia wamepoteza maisha baada ya mabomu yaliyokuwa yametegwa ndani ya gari moja lililokamatwa na maafisa usalama kuwalipukia katika mji mkuu Mogadishu.
-
Mripuko wa bomu waua watu sita na kujeruhi wengine kadhaa mjini Mogadishu, Somalia
May 09, 2017 08:10Watu wasiopungua sita wameuawa baada ya bomu lililotegwa garini kuripuka katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu hapo jana.