-
Mahakama ya India yakataa ombi la Waislamu, ubaguzi unaendelea
Sep 15, 2022 02:29Mahakama ya India imekataa ombi la Waislamu la kutupilia mbali shauuri la wanawake wa Kihindu la kutwaa msikiti wao katika mji wa Banaras.
-
Msikiti washambuliwa New York katika hujuma ya chuki dhidi ya Uislamu
Jul 13, 2022 03:46Msikiti mmoja umevunjiwa heshima mjini New York, huo ukiwa ni muendelezo wa vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu nchini Marekani.
-
Palestina: Si msikiti wa Al Aqsa pekee Palestina unaovamiwa na kuvunjiwa heshima na Wazayuni
Jun 01, 2022 08:07Wizara ya Waqfu ya Palestina imetangaza kuwa, mbali na Al Aqsa, kuna misikiti mingine mingi Palestina katika Ufukwe wa Magharibi inayovamiwa na kuvunjiwa heshima na wazayuni.
-
Wahindu wenye misimamo mikali wateketeza moto msikiti India
May 20, 2022 01:20Wahindu wenye misimamo mikali nchini India wameteteketeza moto msikiti kati mwa nchi hiyo.
-
Misimamo ya Taliban mkabala wa mlipuko wa kigaidi huko Kabul
May 01, 2022 14:31Msemaji wa serikali ya Taliban amelaani shambulizi la kigaidi lililolenga msikiti mmoja katika mji mkuu wa Afghanistan, Kabul siku ya Ijumaa iliyopita. Kundi la Taliban limelitaja shambulizi hilo ambalo liliua na kujeruhi makumi ya waumini, kuwa ni uhalifu dhidi ya ubinadamu.
-
Waislamu 5 wajeruhiwa kwa kupigwa risasi msikitini nchini Canada
Apr 17, 2022 07:59Watu watano wamejeruhiwa baada ya kushambuliwa kwa risasi na wahalifu wasiojulikana nchini Canada, huku vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu vikionekana kushtadi nchini humo.
-
Watu zaidi ya 32 wauawa katika hujuma msikitini Qandahar, Afghanistan
Oct 15, 2021 14:18Hujuma ya kigaidi imelenga msikiti wa Waislamu wa madhehebu ya Shia katika mji wa Kandahar, Afghanistan na kuepelekea waumini wasiopungua 32 kuuawa shahidi na wengine zaidi ya 53 kujeruhiwa.
-
Misikiti India yageuzwa kuwa vituo vya wagonjwa wa Covid-19
May 11, 2021 02:50Aghalabu ya misikiti nchini India imegeuzwa na kuwa vituo vya kuwapokea wagonjwa wa Covid-19, huku mfumo wa afya wa nchi hiyo ukiendelea kulemewa kupita kiasi, vitanda kufurika mahospitalini, sambamba na kushuhudia uhaba mkubwa wa dawa na hewa ya oksijeni katika wimbi la pili la Corona nchini humo.
-
Mawasiliano ya Marekani na mtandao wa kigaidi wa Al Qaeda yanaswa nchini Yemen
Apr 26, 2021 07:59Wizara ya Mambo ya Ndani ya Serikali ya Uokovu wa kitaifa ya Yemen imesema, imenasa mawasiliano yaliyofanywa kati ya Marekani na vinara kadhaa wa mtandao wa kigaidi wa Al Qaeda katika mikoa ya Aden na Ma'rib na mashauriano yaliyofanywa baina ya pande hizo mbili.
-
Serikali ya Saudia yabomoa msikiti mwingine wa Waislamu wa Kishia
Apr 24, 2021 12:38Mabuldoza ya utawala wa Aal Saud yamebomoa msikiti mwingine ulioko kandokando ya mji wa Qatif ambao wakazi wake ni Waislamu wa madhehebu ya Shia mashariki ya Saudi Arabia.