-
Mabaki ya msikiti wa kale yadhihirisha jinsi Uislamu ulivyo na uvumilivu kwa dini zingine
Jan 29, 2021 13:06Wanaakiolojia katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu zilizopewa jina la Israel wamesema, wamegundua mabaki ya msikiti wa kale ambao inaaminika ni wa miongo ya tangu mwanzoni mwa Uislamu. Mabaki ya msikiti huo yamegunduliwa katika uchimbuaji uliofanywa katika mji wa Tiberias kaskazini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Viongozi wa Ufaransa waifunga misikiti 9 nchini humo
Jan 18, 2021 08:17Viongozi wa Ufaransa wameifunga misikiti 9 nchini humo katika kuendelea sera za chuki za serikali ya Paris dhidi ya Uislamu.
-
Wananchi wa Saudi Arabia waghadhibishwa na kubomolewa msikiti wa Washia huko Al Awamiyah
Dec 08, 2020 12:10Wananchi wa Saudi Arabia wametangaza katika mitandao ya kijamii kughadhibishwa na kitendo cha utawala wa Aal Saud cha kubomoa msikiti wa Imam Hussein A.S huko Al Awamiyah nchini humo.
-
Yamkini Misikiti 76 ikafungwa Ufaransa katika kampeni dhidi ya Waislamu
Dec 04, 2020 12:04Serikali ya Ufaransa imetangaza mpango mkubwa na ambao haujawahi kushuhudiwa wa kufanya upekuzi katika misikiti ya nchi hiyo.
-
Ufaransa yalaumiwa kwa kuficha tukio la kudungwa visu Waislamu 2 kwenye Mnara wa Eiffel, al Azhar yaalani
Oct 23, 2020 03:01Mashambulizi na hujuma dhidi ya Waislamu nchini Ufaransa yameongezeka katika siku chache za hivi karibuni kwa kisingizio cha kupambana na "misimamo mikali".
-
Mahakama ya Israel yatoa agizo la kubomolewa msikiti Quds Mashariki
Sep 15, 2020 07:29Mahakama moja katika utawala wa Kizayuni wa Israel imetoa amri ya kubomolewa msikiti mmoja ulioko mashariki wa Quds Tukufu inayokaliwa kwa mabavu.
-
Waislamu wa Ugiriki walalamikia amri ya serikali ya kufungwa msikiti mkongwe karibu na Athens
Jun 25, 2020 11:40Jumuiya ya Waislamu nchini Ugiriki imekosoa vikali agizo la serikali ya nchi hiyo la kufungwa msikiti mkongwe zaidi uliopo jirani na mji mkuu Athens.
-
Wahindu wenye kufurutu ada wachoma moto misikiti nchini India
Mar 04, 2020 13:16Serikali ya India imefichua habari ya kuchomwa moto kikamilifu misikiti tisa na mamia ya nakala za Qur'an Tukufu katika shambulizi lililofanywa na Wahindu wenye misimamo mikali ya chuki dhidi ya Waislamu.
-
Watu wenye chuki watishia kulipua kwa bomu msikiti mjini Berlin, Ujerumani
Nov 26, 2019 04:39Viongozi wa msikiti wa Sehitlik mjini Berlin, mji mkuu wa Ujerumani wametangaza kwamba watu wenye chuki dhidi ya dini ya Uislamu miongoni mwa makundi ya mrengo wa kulia na yenye misimamo ya kigaidi, wametishia kulipua kwa bomu msikiti huo.
-
Mahakama ya India yabariki Wahindu wajenge hekalu lao eneo walipoubomoa msikiti wa kihistoria wa Babri
Nov 09, 2019 15:39Katika hukumu ya uonevu na upendeleo wa wazi iliyotolewa kwa manufaa ya Wahindu wenye misimamo ya chuki na kufurutu mpaka, Mahakama ya Juu Kabisa ya India imeamua kuwapatia Wahindu eneo walipoubomoa msikiti wa kihistoria wa Babri ili wajenge hekalu lao la Ram.