-
Wanazuoni wa Kiislamu Quds Tukufu wataka Waislamu wajitokeze kwa wingi katika Msikiti wa al Aqsa
Aug 28, 2017 23:53Wanazuoni wa Kiislamu katika mji mtakatifu wa Quds wametoa wito kwa Waislamu Wapalestina kujitokeza kwa wingi katika Msikiti wa al Aqsa mjini humo.
-
Wazayuni wandelea kukivunjia heshima Kibla cha Kwanza cha Waislamu
Aug 28, 2017 10:52Walowezi wa Kizayuni wameuvamia kwa mara nyingine tena Msikiti wa al Aqsa na kukivunjia heshima Kibla hicho cha Kwanza cha Waislamu.
-
Nguzo za msikiti mtukufu wa Al-Aqsa zinakaribia kuporomoka
Aug 22, 2017 11:00Taasisi ya Kimataifa ya Quds imetangaza kuwa nguzo za msingi wa msikiti wa Al-Aqsa, kibla cha kwanza cha Waislamu zinakaribia kuporomoka kutokana na mashimo na njia za chini ya ardhi zinazochimbwa kiholela na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Walowezi wa Kizayuni wauvamia msikiti wa al-Aqswa
Aug 03, 2017 09:41Makumi ya walowezi wa Kizayuni leo Alkhamisi wameuvamia tena msikiti wa al-Aqswa ambao ni Kibla cha Kwanza cha Waislamu huko Baytul Muqaddas inayokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.
-
Israel imepora nyaraka muhimu zaidi za msikiti wa al-Aqsa kipindi hiki
Jul 31, 2017 03:48Mkuu wa kituo cha kimataifa cha Quds amesema kuwa, hadi sasa nyaraka muhimu za idara ya waqfu wa Kiislamu mjini Qudsi zilizokuwa katika milango ya msikiti wa al-Aqsa zimeporwa kikamilifu na Wazayuni.
-
Kiongozi: Hija ni fursa ya kutangaza msimamo kuhusu msikiti wa Al-Aqsa na uwepo wenye malengo maovu wa Marekani katika eneo
Jul 30, 2017 10:45Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema Hija ni fursa bora ya mahali na wakati kwa Umma wa Kiislamu kutangaza misimamo kuhusu kadhia ya Palestina, msikiti wa Al-Aqsa na uwepo wenye malengo maovu wa Marekani katika eneo la Mashariki ya Kati.
-
Makumi ya Wapalestina watiwa nguvuni katika Msikiti wa Al-Aqsa
Jul 28, 2017 03:05Askari wa utawala wa Kizayuni wa israel wamewavamia Wapalestina waliofanya mgomo wa kukaa kitako katika msikiti wa Al-Aqsa na kuwatia nguvuni zaidi ya watu mia moja.
-
Mtaalamu wa UN: Israel haifai kufanya maamuzi ya upande mmoja kuhusu al-Aqsa
Jul 27, 2017 11:28Mtaalamu wa masuala ya haki wa Umoja wa Mataifa amesema utawala wa Israel hauna mamlaka na uwezo wa kufanya maamuzi ya upande mmoja kuhusu usimamizi wa Msikiti wa al-Aqsa ulioko Quds tukufu inayokaliwa kwa mabavu.
-
Wanazuoni wa Iraq washangaa kimya cha nchi za Kiarabu kuhusu al-Aqsa
Jul 26, 2017 03:18Jumuiya ya Wanazuoni wa Kiislamu nchini Iraq imeeleza kusikitishwa kwake na kimya cha watawala wa nchi za Kiarabu kuhusu hali mbaya ya mgogoro inayoikabili Quds na msikiti mtukufu wa al-Aqsa.
-
Balozi wa Palestina UN: Baraza la Usalama limeshindwa kuchukua uamuzi kuhusu msikiti wa Al-Aqsa
Jul 25, 2017 12:01Mwakilishi wa Palestina katika Umoja wa Mataifa amesema Baraza la Uslaama la umoja huo halina ubavu wa kuchukua uamuzi kuhusu hali mbaya ya mgogoro inayoikabili Quds na msikiti mtukufu wa Al-Aqsa.