Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Msikiti wa al Aqsa

  • UN yatahadharisha kuhusu matokeo mabaya ya mvutano wa al-Aqsa

    UN yatahadharisha kuhusu matokeo mabaya ya mvutano wa al-Aqsa

    Jul 24, 2017 22:29

    Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuhusu athari mbaya za mgogoro uliosababishwa na hatua ya Israel ya kuwazuia Waislamu wa Palestina kutekeleza ibada ya Swala katika Msikiti wa al Aqsa na kusisitiza kuwa, unaweza kuwa na maafa makubwa.

  • Erdogan: Waislamu hawawezi kufumbia macho mgogoro wa al-Aqsa

    Erdogan: Waislamu hawawezi kufumbia macho mgogoro wa al-Aqsa

    Jul 23, 2017 23:28

    Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki amekosoa vikali hatua kandamizi za usalama za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina katika mji wa Quds Tukufu na kusisitiza kuwa katu Waislamu hawawezi kunyamazia kimya jinai hizo.

  • Arab League: Israel inacheza na moto kuhusu kadhia ya Quds

    Arab League: Israel inacheza na moto kuhusu kadhia ya Quds

    Jul 23, 2017 09:41

    Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imeutahadharisha utawala wa Kizayuni wa Israel kwamba 'unacheza na moto' kutokana na kushadidisha ukandamizaji dhidi ya Wapalestina wa Quds Tukufu inayokaliwa kwa mabavu.

  • Al Azhar yaonya kuhusu kuendelea Israel kuuvunjia heshima Msikiti wa al Aqsa

    Al Azhar yaonya kuhusu kuendelea Israel kuuvunjia heshima Msikiti wa al Aqsa

    Jul 21, 2017 23:19

    Chuo Kikuu cha al Azhar cha nchini Miri kimeuonya utawala wa Kizayuni wa Israel kutokana na jinai unazozifanya pambizoni mwa Msikiti wa al Aqsa kwani jinai hizo zinawaumiza Waislamu wote duniani.

  • Dahlan: Vitendo vya Israel Masjidul Aqswa ni ugaidi ulio wazi

    Dahlan: Vitendo vya Israel Masjidul Aqswa ni ugaidi ulio wazi

    Jul 20, 2017 03:24

    Mjumbe wa zamani wa Kamati Kuu ya harakati ya Fat'h ya Palestina amesema kuwa, vitendo vya utawala wa Kizayuni wa Israel katika mji mtakatifu wa Quds na Msikiti wa al Aqsa ni ugaidi ulio wazi.

  • UN yataka kukomeshwa mapigano Masjidul Aqsa

    UN yataka kukomeshwa mapigano Masjidul Aqsa

    Jul 19, 2017 02:45

    Umoja wa Mataifa umetoa wito wa kukomeshwa mapigano yanayoendelea katika Msikiti mtakatifu wa al Aqsa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.

  • Harakati za Palestina zaonya kuhusu jinai za Wazayuni katika Msikiti wa Al Aqsa

    Harakati za Palestina zaonya kuhusu jinai za Wazayuni katika Msikiti wa Al Aqsa

    Jul 18, 2017 11:13

    Harakati za mapambano ya kupigania ukombozi wa Palestina katika Ukanda wa Ghaza zimetahadharisha kuhusu jinai mpya zinazofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika Msikiti wa Al Aqsa katika mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu.

  • Wapalestina waandamana kulaani jinai za Wazayuni katika Masjidul Aqswa

    Wapalestina waandamana kulaani jinai za Wazayuni katika Masjidul Aqswa

    Jul 16, 2017 10:41

    Kundi la Wapalestina na wawakilishi wa makundi ya Palestina leo Jumapili wamefanya maandamano kulaani jinai za mara kwa mara zinazofanywa na Wazayuni maghasibu dhidi ya Msikiti wa Aqsa, Kibla cha Kwanza cha Waislamu.

  • Msikiti wa al-Aqsa, lengo la njama za Israel na uhaini wa utawala wa Aal-Saud

    Msikiti wa al-Aqsa, lengo la njama za Israel na uhaini wa utawala wa Aal-Saud

    Jul 16, 2017 07:49

    Katika hali ambayo njama za utawala haramu wa Israel dhidi ya Masjidul-Aqsa zimeshika kasi katika siku za hivi karibuni, habari zinaripoti kuwepo harakati za utawala wa Aal-Saud kwa ajili ya kuiandalia mazingira Israel iweze kuudhibiti kikamilifu msikiti huo.

  • Lebanon yataka mataifa ya ulimwengu yailazimishe Israel iache uvamizi

    Lebanon yataka mataifa ya ulimwengu yailazimishe Israel iache uvamizi

    Jul 15, 2017 08:29

    Rais Michel Aoun wa Lebanon ametoa wito kwa mataifa ya ulimwengu kuchukua hatua ambazo zinataulazimisha utawala haramu wa Israel ukomeshe hatua zake za kivamizi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS