-
Wanajeshi wa Israel wamewaua Wapalestina watatu Quds Tukufu
Jul 14, 2017 03:10Wapalestina watatu wamepigwa risasi na kuuawa baada ya kufyatuliwa risasi na wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika mji unaokaliwa kwa mabavu wa Quds.
-
Wazayuni wazidi kuvunjia heshima matukufu ya Kiislamu
Jul 06, 2017 03:12Katika mwezi uliopita wa Juni, utawala wa Kizayuni wa Israel uliyavunjia heshima mara 80 matukufu ya Kiislamu huko Palestina hususan Msikiti wa al Aqsa ambao ni Kibla cha Kwanza cha Waislamu katika mji wa Quds na Haram na Nabii Ibrahim AS katika mji wa al Khalil
-
Wazayuni waendelea kukivunjia heshima Kibla cha Kwanza cha Waislamu
Jun 14, 2017 23:48Makumi ya walowezi wa Kizayuni jana Jumatano waliuvamia tena msikiti wa al Aqswa ambao ni Kibla cha Kwanza cha Waislamu.
-
Wazayuni waendelea kukivunjia heshima Kibla cha Kwanza cha Waislamu
Jun 14, 2017 21:59Makumi ya walowezi wa Kizayuni jana Jumatano waliuvamia tena msikiti wa al Aqswa ambao ni Kibla cha Kwanza cha Waislamu.
-
Polisi ya Israel yafunga Msikiti wa al-Aqsa, wazuia ibada za Waislamu
Jun 11, 2017 09:36Maafisa wa polisi ya utawala wa Kizayuni wa Israel wamefunga na kuuzingira Msikiti wa al-Aqsa sambamba na kuwazuia waumini wa Kiislamu kuingia na kutoka kwenye msikiti huo, ambacho ni Kibla cha kwanza cha Waislamu.
-
Wazayuni wauvunjia heshima Msikiti wa al-Aqswa kwa siku ya pili mtawalia
Jun 01, 2017 02:54Walowezi wa Kizayuni wameuvunjia heshima tena msikiti wa al-Aqswa kibla cha kwanza cha Waislamu kwa siku ya pili mtawalia baada ya kufanya uvamizi katika eneo la ndani la msikiti huo mtakatifu huko Baytul Muqaddas.
-
Makumi ya walowezi wa Kizayuni wavamia tena Msikiti wa al -Aqswa
May 29, 2017 09:43Makumi ya walowezi wa Kizayuni leo wamevamia tena Msikiti wa al Aqsa kupitia upande wa Bab al-Magharibah na kwa mara nyingine tena kuuvunjia heshima msikiti huo mtakatifu.
-
Waislamu duniani washerehekea siku ya kupewa Utume Nabii Muhammad (saw)
Apr 25, 2017 10:37Waislamu wa maeneo mbalimbali ya dunia wameungana katika kusherehekea siku ya kubaathiwa Mtume Muhammad (saw).
-
Hatua za Wazayuni za kuyavunjia heshima maeneo ya Kiislamu, Palestina
Apr 14, 2017 10:17Walowezi wa Kizayuni wakisaidiwa na kupewa ulinzi na askari polisi wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel wamevamia tena na kuuvunjia heshima msikiti wa Al-Aqsa na wa Haram ya Nabii Ibrahim (as).
-
Wazayuni wakivamia tena Kibla cha Kwanza cha Waislamu
Apr 06, 2017 10:19Karibu walowezi 50 wa Kizayuni leo Alkhamisi wamekivamia tena Kibla cha Kwanza cha Waislamu yaani Masjidul Aqswa na kuuvujia heshima msikiti huo mtakatifu kwa ulinzi kamili wa polisi wa Israel.