Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Msikiti wa al Aqsa

  • Wazayuni waongeza njama za kuuvamia Msikiti wa al Aqsa

    Wazayuni waongeza njama za kuuvamia Msikiti wa al Aqsa

    Feb 01, 2017 23:21

    Bunge la utawala wa Kizayuni wa Israel Knesset limefuta marufuku iliyokuwa inawazuia wabunge wa utawala huo kuingia ndani ya msikiti wa al Aqsa, ambacho ni Kibla cha Kwanza cha Waislamu.

  • Dk. Hanna Issa: Mashimo mengine kadhaa yamechimbwa chini ya msikiti wa Al-Aqsa

    Dk. Hanna Issa: Mashimo mengine kadhaa yamechimbwa chini ya msikiti wa Al-Aqsa

    Dec 30, 2016 03:44

    Kamati ya Kiislamu na Kikristo ya kuuhami mji mtukufu wa Baitul Muqaddas na matukufu yake imeripoti kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel umechimba mashimo mengine kadhaa chini ya msikiti mtukufu wa Al-Aqsa.

  • Wazayuni wakivunjia tena heshima Kibla cha Kwanza cha Waislamu

    Wazayuni wakivunjia tena heshima Kibla cha Kwanza cha Waislamu

    Dec 19, 2016 00:54

    Walowezi wa Kizayuni jana Jumapili waliingia kwenye eneo la Masjidul Aqswa, Kibla cha Kwanza cha Waislamu huko Palestina na kukivunjia heshima.

  • Sheikh Sabri: Kuuhamishia ubalozi wa Marekani Quds ni kutangaza vita na Wapalestina

    Sheikh Sabri: Kuuhamishia ubalozi wa Marekani Quds ni kutangaza vita na Wapalestina

    Dec 17, 2016 00:54

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa katika msikiti mtukufu wa Al-Aqsa, Palestina inayokaliwa kwa mabavu amesema, kuhamishiwa Baitul Muqaddas ubalozi wa Marekani ulioko Tel Aviv na kuitambua rasmi Quds kuwa mji mkuu wa utawala bandia wa Israel ni sawa na kutangaza vita na Wapalestina.

  • Walowezi wa Kiyahudi wauvunjia heshima tena msikiti wa al-Aqswa

    Walowezi wa Kiyahudi wauvunjia heshima tena msikiti wa al-Aqswa

    Dec 05, 2016 00:40

    Makumi ya walowezi wa Kiyahudi jana Jumapili waliuvamia Msikiti Mtukufu wa al Aqsa katika mji wa Baitul Muqaddas na kulivunjia heshima eneo hilo tukufu.

  • Radiamali ya Iran kuhusu kupigwa marufuku adhana misikitini huko Quds

    Radiamali ya Iran kuhusu kupigwa marufuku adhana misikitini huko Quds

    Nov 17, 2016 00:54

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amezitolea wito jamii ya kimataifa na nchi za Kiislamu kufanya juhudi ili kuzuia kubadilishwa utambulisho wa Kiislamu wa Baitul Muqaddas.

  • Kupigwa marufuku adhana katika Msikiti wa al Aqsa, hatua mpya ya Israel katika fremu ya sera za Trump

    Kupigwa marufuku adhana katika Msikiti wa al Aqsa, hatua mpya ya Israel katika fremu ya sera za Trump

    Nov 15, 2016 04:09

    Katika fremu ya kudumisha sera za kuiyahudisha Quds tukufu na kufuta kabisa nembo na alama zote za Kiislamu katika ardhi ya Palestina, Baraza la Mawaziri la Israel limeafiki mpango wa kupiga marufuku adhana katika misikiti ya Quds ukiwemo Msikiti wa al Aqsa.

  • Walowezi wa Kizayuni washambulia tena Masjidul Aqsa

    Walowezi wa Kizayuni washambulia tena Masjidul Aqsa

    Nov 10, 2016 09:54

    Kwa mara nyingine tena walowezi wa Kizayuni wamekishambulia kibla cha kwanza cha Waislamu.

  • UNESCO yapinga njama za kuiyahudisha Baitul Muqaddas

    UNESCO yapinga njama za kuiyahudisha Baitul Muqaddas

    Nov 09, 2016 07:46

    Eneo la Baitul Muqaddas (Jerusalem) na Haram tukufu ya Msikiti wa al Aqsa limekuwa likizusha hitilafu na migogoro kwa miaka mingi.

  • Maelfu ya Wapalestina wasali Ijumaa katika msikiti mtukufu wa Al-Aqsa

    Maelfu ya Wapalestina wasali Ijumaa katika msikiti mtukufu wa Al-Aqsa

    Oct 08, 2016 00:36

    Makumi ya maelfu ya Wapalestina wameshiriki kwenye Sala ya Ijumaa katika msikiti mtukufu wa Al-Aqsa licha ya vizuizi na hatua kali za usalama zilizochukuliwa na utawala wa Kizayuni katika mji wa Baitul Muqaddas, Palestina inayokaliwa kwa mabavu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS