Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

muqawama

  • Hamas: Kujiuzulu kamanda wa makomandoo wa Israel ni ishara ya nguvu ya Wapalestina

    Hamas: Kujiuzulu kamanda wa makomandoo wa Israel ni ishara ya nguvu ya Wapalestina

    Feb 20, 2019 08:06

    Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema kujiuzulu kamanda wa vikosi maalumu vya makomandoo wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel baada ya kushindwa na Wapalestina katika oparesheni ya Khan Yunus ni ishara ya nguvu kubwa za harakati za kupigania ukombozi Palestina au muqawama na kusambaratika mahesabu ya wakuu wa utawala wa Kizayuni.

  • Sayyid Hassan Nasrullah: Uwezo wa muqawama wa Hizbullah umeongezeka zaidi

    Sayyid Hassan Nasrullah: Uwezo wa muqawama wa Hizbullah umeongezeka zaidi

    Feb 17, 2019 05:11

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrullah amesema kuwa uwezo wa muqawama ambao unazidi kuongezeka kila siku, ni urithi wa makamanda waliouawa shahidi na alama ya nguvu ya harakati hiyo na kwamba njia hiyo itaendelea daima.

  • Maandamano ya baharini ya kuvunja mzingiro dhidi ya Ukanda wa Gaza; nembo nyengine ya mapambano ya Wapalestina

    Maandamano ya baharini ya kuvunja mzingiro dhidi ya Ukanda wa Gaza; nembo nyengine ya mapambano ya Wapalestina

    Feb 14, 2019 02:35

    Kamati ya Kitaifa ya Palestina ya kuvunja mzingiro dhidi ya Ukanda wa Gaza, imetangaza habari ya kufanyika maandamano ya 23 ya baharini karibu na kambi ya kijeshi ya Zakim, kaskazini mwa ukanda huo.

  • Rais Rouhani: Vita dhidi ya teknolojia na mabadiliko mapya, ni jambo la zamani sana

    Rais Rouhani: Vita dhidi ya teknolojia na mabadiliko mapya, ni jambo la zamani sana

    Jan 21, 2019 16:31

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, sekta ya mawasiliano na tekonolojia ya habari ni nembo ya mabadiliko ya jamii mbalimbali katika suala zima la ustawi wa kisayansi na kusisitiza kwamba, kuwa na welewa sahihi na kuamiliana kwa njia nzuri na uhakika huo, ndiyo njia pekee ya kuweza kudhibiti na kuzuia matatizo yanayotokana na maendeleo ya kiteknolojia.

  • Siku ya Gaza, hatua athirifu katika kuwaunga mkono wananchi wa Palestina

    Siku ya Gaza, hatua athirifu katika kuwaunga mkono wananchi wa Palestina

    Jan 19, 2019 12:01

    Siku ya Gaza ambayo ni nembo ya kuwaunga mkono wakazi wa eneo la Gaza huko Palestina wanaokabiliwa na mzingiro imewadia katika hali ambayo, katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita, Palestina imeshuhudia kuongezeka harakati za wananchi zenye lengo la kuuvunja mzingiro wa Gaza.

  • Ujumbe wa ndege zisizo na rubani za Yemen kwa wavamizi na vibaraka wao ndani ya mwaka 2019

    Ujumbe wa ndege zisizo na rubani za Yemen kwa wavamizi na vibaraka wao ndani ya mwaka 2019

    Jan 12, 2019 02:55

    Katika radiamali yake kufuatia kuendelea uvamizi na ubeberu wa muungano vamizi wa Saudia na vibaraka wake, jeshi la Yemen kwa kushirikiana na kamati za wananchi limeshambulia kambi ya kijeshi ya wavamizi hao kwa kutumia ndege isiyo na rubani (drone).

  • Hamas: Kushiriki kwa wingi Wapalestina katika maadhimisho ya kuasisiwa harakati hiyo ni ishara ya kuungwa mkono muqawama

    Hamas: Kushiriki kwa wingi Wapalestina katika maadhimisho ya kuasisiwa harakati hiyo ni ishara ya kuungwa mkono muqawama

    Dec 17, 2018 08:22

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (Hamas) imesisitiza kuwa, kushiriki kwa wingi mamia ya maelfu ya watu katika maadhimisho ya mwaka wa 31 tangu kuasisiwa harakati hiyo ni ishara mpya ya uungaji mkono wa wananchi wa Palestina kwa mapambano ya ukombozi dhidi ya Wazayuni maghasibu.

  • Kuakisiwa gwaride la vikosi vya muqawama vya Palestina mjini Ghaza + Picha

    Kuakisiwa gwaride la vikosi vya muqawama vya Palestina mjini Ghaza + Picha

    Dec 16, 2018 11:08

    Bridegi za Izuddin Qassam, tawi la kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS jana Jumamosi zilifanya gwaride kubwa lililofana la kijeshi katika Ukanda wa Ghaza.

  • HAMAS: UN inapaswa izime mpango wa njama ya Marekani dhidi ya Muqawama wa Palestina

    HAMAS: UN inapaswa izime mpango wa njama ya Marekani dhidi ya Muqawama wa Palestina

    Dec 03, 2018 15:36

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imesisitiza kuwa inapasa Umoja wa Mataifa uzime mpango wa njama ya Marekani dhidi ya Muqawama wa Palestina .

  • Amir Hatami: Iran inatoa uungaji mkono wa kimaanawi kwa mataifa madhulumu

    Amir Hatami: Iran inatoa uungaji mkono wa kimaanawi kwa mataifa madhulumu

    Dec 02, 2018 03:42

    Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, taifa hili linatoa uungaji mkono wa kimaanawi kwa uwezo wake wote kwa mataifa madhlumu ulimwenguni.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS