-
Sababu za Israel kupenda vita vienee eneo zima la Asia Magharibi
Jan 30, 2024 02:44Duru mbalimbali za habari zimeripoti kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel unafanya njama za kila namna za kutaka vita vienee kwenye eneo zima la Asia Magharibi.
-
"Ubeberu wa US unaporomoka, muqawama ndiyo nguzo ya usalama katika eneo"
Dec 25, 2023 10:43Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, Wamarekani wamekiri wenyewe kwamba, nidhamu ya dunia iliyojengeka katika misingi ya ubeberu ipo katika mkondo wa kuporomoka, na kwamba mabeberu hawawezi kuendelea kuwatwisha walimwengu misimamo na mitazamo yao.
-
Kukamatwa majasusi wa utawala wa Kizayuni na Wanamuqawama
Dec 25, 2023 06:07Makamanda wa muqawama wamewatia mbaroni majasusi wa utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza baada ya kuchunguza nyaraka za usalama zilizopatikana wakati wa operesheni ya kimbunga cha Al-Aqsa.
-
Wanajeshi wa Israel walioangamizwa na wanamuqawa wakaribia 500
Dec 23, 2023 12:10Idadi ya wanajeshi wa utawala haramu wa Israel walioangamizwa na wanamuqawama wa Palestina inazidi kuongezeka sambamba na wanajeshi wa jeshi hilo kuingiwa na kiwewe kutokana na operesheni za kijeshi dhidi yao katika Ukanda wa Gaza.
-
Uungaji mkono usio na kikomo wa US na UK kwa utawala wa Kizayuni; kuanzia misaada ya kila hali mpaka uwekaji vikwazo dhidi ya Muqawama
Dec 18, 2023 06:12Serikali za Marekani na Uingereza zinazojinasibu kuwa watetezi wa haki za binadamu, mara hii zimeendeleza uungaji mkono wao kwa jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya watu wa Gaza kwa kuwawekea vikwazo vipya makamanda wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC).
-
HAMAS: Tuko tayari kwa vita vya muda mrefu na hatutaachana na Muqawama
Dec 14, 2023 07:49Osama Hamdan, Kiongozi Mwandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesisitiza azma thabiti ya harakati hiyo ya Muqawama wa Wapalestina yenye makao yake katika Ukanda wa Gaza ya kuendelea kupambana na utawala wa Kizayuni wa Israel, ambao umeliweka eneo hilo la pwani katika vita vya mtawalia vya mauaji ya kimbari.
-
Makundi ya muqawama yatoa mwito wa kufanyika 'mgomo wa ulimwengu'
Dec 10, 2023 04:01Muungano wa makundi ya muqawama wa Palestina umetoa mwito wa kufanyika 'mgomo kamili wa kimataifa' kwa ajili ya kuonyesha mshikamano na wananchi wa Palestina katika Ukanda wa Gaza, ambao wanakabiliwa na mauaji ya kimbari ya utawala wa Kizayuni wa Israel kwa zaidi ya miezi miwili sasa.
-
Hizbullah: Muqawama hautoruhusu Wazayuni wafikie malengo yao Ghaza
Dec 02, 2023 10:39Naibu wa Mkuu wa Baraza la Utendaji la Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amegusia kuanza upya jinai za utawala wa Kizayuni huko Ghaza na kusema kuwa, muqawama kamwe hautowaruhusu Wazayuni kufanikisha malengo yao haramu.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran asisitiza kusitishwa haraka jinai za utawala wa Kizayuni; azungumza na Hania na Al Nakhaleh
Oct 23, 2023 12:41Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amezungumza kwa simu kwa nyakati tofauti na viongozi wa muqawama wa Palestina na kusisitiza kusitishwa haraka iwezekanavyo jinai za utawala wa Kizayuni za mauaji dhidi ya raia wa Palestina.
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa: Shambulio la Muqawama lililofanywa wakati mwafaka ni halali na linakubalika kimataifa
Oct 20, 2023 13:33Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo hapa mjini Tehran amesisitiza kuwa, shambulio liliofanywa wakati mwafaka la Muqawama ni halali na linakubalika katika uga wa kimataifa na dhamiri za umma; na halina pingamizi yoyote.