-
Alkhamisi, tarehe 25 Julai, 2024
Jul 25, 2024 01:05Leo ni Alkhamisi tarehe 19 Mfunguo Nne Muharram 1446 Hjria sawa na Julai 25 mwaka 2024.
-
Jumapili, 14 Julai, 2024
Jul 14, 2024 00:19Leo ni Jumapili 8 Mfunguo Nne Muharram 1446 Hijria mwafaka na 14 Julai 2024 Miladia.
-
Alkhamisi, tarehe 11 Julai, 2024
Jul 10, 2024 23:03leo ni Alkhamisi tarehe 05 Muharram 1446 Hijria sawa na Julai 11 mwaka 2024.
-
Jumapili, 7 Julai, 2024
Jul 06, 2024 22:50Leo ni Jumapili tarehe Mosi Mfunguo Nne Muharram 1446 Hijria mwafaka na tarehe 7 Julai 2024.
-
Leo katika Historia, Jumatano 19 Julai
Jul 18, 2023 23:08Jumatano tarehe Mosi Muharram 1445 Hijria inayosadifiana na tarehe 19 Julai mwaka 2023.
-
Jumanne tarehe 10 Agosti 2021
Aug 09, 2021 21:56Leo ni tarehe Mosi Mfunguo Nne Muharram mwaka 1443 Hijria sawa na Agosti 10 mwaka 2021.
-
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi: Imarati imeusaliti Ulimwengu wa Kiislamu na Palestina
Sep 01, 2020 08:40Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameitaja hatua ya serikali ya Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) ya kuanzisha uhusiano na utawala wa Kizayuni kuwa ni kuusaliti Ulimwengu wa Kiislamu, Ulimwengu wa Kiarabu na nchi za eneo na kadhia muhimu ya Palestina.
-
Upeo wa kimataifa wa Arubaini ya Imam Hussein (as) + Video
Oct 14, 2019 10:50Arubaini ya Imam Hussein (as) imekuwa ni ya kimataifa na itaendelea kupanuka zaidi katika upeo huo. Hii ni damu ya Hussein bin Ali (as) ambayo licha ya kupita miaka 1400, ingali inachemka na kuendelea kuwa mpya na hai zaidi siku baada ya nyingine. Huu ndio ujumbe ule ule wa Siku ya Ashura uliopazwa kupitia koo za Aba Abdillah al-Hussein (as) na Bibi Zainab (sa) katika kipindi kigumu zaidi cha upweke wao. Pamoja na hayo, hii leo ujumbe huo umeenea na kufika katika kila pembe ya dunia.
-
Polisi ya Nigeria yaanzisha wimbi jipya la ukandamizaji dhidi ya wafuasi wa Sheikh Zakzaky sambamba na kuwadia Muharram
Sep 01, 2019 03:22Sambamba na kuwadia mwezi wa Muharram, jeshi la polisi nchini Nigeria limetoa amri ya kushadidishwa ukandamizaji dhidi ya wafuasi na waungaji mkono wa kiongozi wa harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo, Sheikh Ibrahim Zakzaky.
-
Jumamosi, Septemba 22, 2018
Sep 21, 2018 23:33Leo ni Jumamosi tarehe 12 Mfunguo Nne Muharram 1440 Hijria inayosadifiana na tarehe 22 Septemba 2018 Miladia.