Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Mwezi wa Ramadhani

  • Umewahi Kusoma Hotuba ya Sha'baniyyah ya Mtume Muhammad (saw)?

    Umewahi Kusoma Hotuba ya Sha'baniyyah ya Mtume Muhammad (saw)?

    Feb 27, 2025 13:22

    Kwa mujibu wa kitabu cha “Kanzul-Maram fi A'mal Shahr al-Siyam”, Sheikh al-Saduq anamnukuu Imam Ridha (AS) akisema kwamba, katika moja ya siku za mwisho za mwezi wa Shaaban, kabla ya kuingia Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, Mtume Muhammad (SAW) alitoa hotuba inayojulikana kama al Khutbatu Al-Sha'baniyyah.

  • Watu kadhaa wakamatwa kwa kula mchana wa Ramadhani Zanzibar

    Watu kadhaa wakamatwa kwa kula mchana wa Ramadhani Zanzibar

    Mar 29, 2024 11:58

    Jeshi la polisi visiwani Zanzibar nchini Tanzania limewatia mbaroni watu 12 kwa tuhuma za kukiuka utaratibu wa dini ya Kiislamu kwa kula mchana hadharani katika kipindi hiki cha mwezi mtukufu wa Ramadhani.

  • Raisi: Wajibu wa wakuu wa nchi za Kiislamu ni kudumisha amani miongoni mwa Waislamu

    Raisi: Wajibu wa wakuu wa nchi za Kiislamu ni kudumisha amani miongoni mwa Waislamu

    Mar 12, 2024 03:13

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewapongeza viongozi na wananchi wa nchi za Kiislamu kwa mnasaba wa kuwadia mwezi mtukufu wa Ramadhani na kusema kuwa, ni wajibu wa viongozi wa nchi za Kiislamu kuhimiza na kudumisha amani na undugu baina ya Waislamu.

  • Jumanne, 12 Machi, 2024

    Jumanne, 12 Machi, 2024

    Mar 12, 2024 02:34

    Leo ni Jumanne tarehe Mosi Ramadhani 1445 Hijria inayosadifiana na tarehe 12 Machi, 2024.

  • Baadhi ya Waislamu waanza funga ya mwezi mtukufu wa Ramadhani

    Baadhi ya Waislamu waanza funga ya mwezi mtukufu wa Ramadhani

    Mar 11, 2024 04:44

    Baadhi ya mataifa ya Kiislamu Jumatatu ya leo yameanza funga ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.

  • Israel kuruhusu Wapalestina waliopindukia miaka 70 tu kuingia Msikiti wa Al Aqsa wakati wa Ramadhani

    Israel kuruhusu Wapalestina waliopindukia miaka 70 tu kuingia Msikiti wa Al Aqsa wakati wa Ramadhani

    Feb 19, 2024 11:08

    Utawala wa Kizayuni wa Israel umeidhinisha mpango wa kuwawekea vizuizi vikali Wapalestina wanaoishi kwenye ardhi zilizoanza kukaliwa kwa mabavu mwaka 1948 na wa mji wa Baitul Muqaddas (Jeruselem) vya kuingia kwenye Msikiti wa Al Aqsa wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani, utakaoanza wiki ya pili ya mwezi ujao wa Machi.

  • Netanyahu aamuru Mayahudi wasiingie Msikiti wa Al-Aqsa mpaka mwisho wa Ramadhani

    Netanyahu aamuru Mayahudi wasiingie Msikiti wa Al-Aqsa mpaka mwisho wa Ramadhani

    Apr 12, 2023 12:48

    Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel ametangaza kuwa kwa ushauri wa maafisa usalama wa Israel, Mayahudi wasiende katika Msikiti wa Al-Aqsa hadi mwisho wa mwezi wa Ramadhani.

  • Raisi awapongeza viongozi wa nchi za Kiislamu kwa kuanza Ramadhani

    Raisi awapongeza viongozi wa nchi za Kiislamu kwa kuanza Ramadhani

    Mar 23, 2023 11:18

    Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewatumia salamu za pongezi viongozi wa nchi za Kiislamu kwa kuanza mwezi mtukufu wa Ramadhani.

  • Alkhamisi, tarehe 23 Machi, 2023

    Alkhamisi, tarehe 23 Machi, 2023

    Mar 23, 2023 02:12

    Leo ni Alkhamisi tarehe Mosi Ramadhani 1444 Hijria sawa na 23 Machi 2023.

  • Kuwa karibu na Mwenyezi Mungu

    Kuwa karibu na Mwenyezi Mungu

    Apr 18, 2022 09:58

    Hamjambo wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni kutoka mjini Tehran. Tuna furaka kukukaribisheni kusikiliza kipindi hiki maalumu ambacho tumekuandalieni kwa mnasaba wa kukaribia nyusiku tukufu na takatifu za Lailatul Qadr.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS