-
Jihad Islami: Siku zilizobaki za Ramadhani ni uwanja wa vita vikali na wavamizi
Apr 12, 2022 07:48Mjumbe wa ngazi ya juu wa harakati ya Jihad Islami ya Palestina amesema kuwa, siku zilizosalia za mwezi mtukufu wa Ramadhani zitakuwa uwanja wa vita vikali na wavamizi wanaoikalia Quds kwa mabavu na kuongeza kuwa, ujinga wowote wa utawala ghasibu wa Israel utauangamiza utawala huo.
-
Ramadhani, mwezi wa fursa
Apr 11, 2022 10:56Assalaam Alaykum wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. Tunakukaribisheni kusikilizaji kipindi hiki maalumu ambacho tumekutayarishieni kwa mnasaba wa funga ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.
-
Raisi atuma salamu za Ramadhani kwa viongozi wa nchi za Kiislamu duniani
Apr 03, 2022 08:18Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewatumia ujumbe wa salamu za Ramadhan viongozi wa nchi za Kiislamu duniani.
-
Jumapili, 3 Aprili, 2022
Apr 03, 2022 03:33Leo ni Jumapili tarehe Mosi ya mwezi mtukufu wa Ramadhani 1443 Hijria ambayo inasadifiana na tarehe 3 Aprili 2022.
-
Iran yawanyooshea mkono wa kheri Waislamu duniani kwa kuwadia Ramadhani
Apr 03, 2022 03:22Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewapongeza na kuwatakia Waislamu wote duniani kheri na baraka kwa mnasaba wa kuwadia mwezi mtukufu wa Ramadhani.
-
Jumatano, Aprili 14, 2021
Apr 14, 2021 02:21Leo ni Jumatano tarehe Mosi Ramadhani 1442 Hijria sawa na tarehe 14 Aprili mwaka 2021.
-
Iran yawapongeza Waislamu kwa kuwadia mwezi wa Ramadhani
Apr 13, 2021 07:25Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewapongeza na kuwatakia Waislamu wote duniani kheri na baraka kwa mnasaba wa kuwadia mwezi mtukufu wa Ramadhani.
-
Ndege za kivita za Iraq zashambulia ngome za magaidi wa ISIS nchini Iraq
Apr 11, 2021 07:45Ndege za kivita za Iraq zimeshambulia ngome za magaidi wa ISIS au Daesh katika Milima ya Hamrin mkoani Diyala ambapo magaidi kadhaa wameangamizwa
-
Utafiti: Ni salama kufunga Saumu katika janga la Corona
Apr 03, 2021 02:43Utafiti mpya uliofanywa nchini Uingereza umebainisha kuwa, funga ya mwezi mtukufu wa Ramadhani ya mwaka jana 2020 haikusababisha kuongezeka idadi ya vifo vya ugonjwa wa Covid-19 miongoni mwa Waislamu nchini humo, kama ilivyodaiwa na baadhi ya viongozi na wanasiasa wahafidhina katika nchi hiyo ya Ulaya.
-
Kiongozi Muadhamu: Kutomuogopa adui, ni katika mafundisho muhimu ya Qurani
Apr 26, 2020 02:43Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kutomuogopa adui na kusimama kidete dhidi yake ni katika maamrisho na maelekezo muhimu ya Qurani Tukufu.