-
Daily Telegraph: Jeshi la Myanmar linawaua kwa umati Waislamu wa Rohingya
Sep 03, 2017 13:50Gazeti la Daily Telegraph la nchini Uingereza limeandika katika ripoti yake kwamba, jeshi la Myanmar limekuwa likifanya mauaji ya umati dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya.
-
Erdogan: Mauaji ya Waislamu wa Warohingya ni ya kimbari
Sep 02, 2017 07:42Rais wa Uturuki Recep Teyyip Erdogan ameyataja mauaji ya mamia ya Waislamu wa kabila la Rohingya huko Myanmar kama mauaji ya kimbari.
-
Waislamu 400 wafariki dunia Myanmar katika kipindi cha wiki moja
Sep 01, 2017 15:42Waislamu takribani 400 wamefariki dunia nchini Myanmar katika kipindi cha wiki moja tokea jeshi la nchi hiyo lianzishe kampeni mpya ya kuwakandamiza Waisalmu wa jamii ya Rohingya.
-
Jamii ya kimataifa yatakiwa kuvunja kimya chake mbele ya mauaji ya Waislamu Myanmar
Sep 01, 2017 04:14Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kutetea Haki za Waislamu wa jamii ya Rohingya yenye makao yake nchini Uingereza amekosoa vikali kimya cha jamii ya kimataifa mbele ya mauaji yanayoendelea kufanywa na Mabudha wenye misimamo mikali dhidi ya Waisalmu nchini Myanmar
-
Warohingya 17 waghariki katika mpaka wa Myanmar na Bangladesh
Aug 31, 2017 13:40Kwa akali wakimbizi 17 Waislamu wa kabila la Rohingya wamekufa maji katika mpaka wa Myanmar na Bangladesh wakikimbia jinai wanazofanyiwa na Mabudha wenye misimamo ya kuchupa mipaka na jeshi la Myanmar.
-
Baraza la Ulaya lataka kusitishwa mauaji ya kimbari dhidi ya Waislamu wa Myanmar
Aug 30, 2017 07:33Baraza la Ulaya limetoa wito wa kukomeshwa mauaji ya kimbari yanayofanywa na mabudha wenye misimamo ya kufurutu ada wa Myanmar dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya wa nchi hiyo.
-
Iran yaitaka serikali ya Myanmar izuie ukiukwaji haki za Waislamu wa Rohingya
Aug 29, 2017 03:48Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imebainisha wasiwasi wake kuhusu hali mbaya ya Waislamu wa jamii ya Rohingya huko Myanmar na imeitaka serikali ya nchi hiyo izuie ukiukwaji wa haki za Waislamu nchini humo.
-
Al Azhar yalaani mauaji ya Waislamu wa Rohingya, Myanmar
Aug 28, 2017 06:57Taasisi ya Al Azhar nchini Misri imelaani vikali mauaji yanayoendelea kufanywa na Mabudha wenye misimamo mikali wa Myanmar dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini humo.
-
Papa asisitiza kusitishwa mashambulizi dhidi ya Waislamu wa Rohingya
Aug 27, 2017 14:39Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani amesisitiza kusitishwa mashambulizi na utumiaji mabavu dhidi ya Waislamu wa kabila la Rohingya huko Myanmar.
-
Umoja wa Mataifa walaani mauaji dhidi ya Waislamu wa Myanmar
Aug 26, 2017 03:53Umoja wa Mataifa umelaani vikali mauaji na vitendo vya utumiaji mabavu dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini Myanmar.