Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

NATO

  • Alkhamisi, 04 Aprili, 2019

    Alkhamisi, 04 Aprili, 2019

    Apr 04, 2019 02:53

    Leo ni Alkhamisi tarehe 28 ya mwezi Rajab 1440 Hijria ambayo inasadifiana na tarehe 4 Aprili 2019 Miladia.

  • Jumapili, tarehe 17 Machi, 2019

    Jumapili, tarehe 17 Machi, 2019

    Mar 17, 2019 07:39

    Leo ni Jumapili tarehe 10 Rajab 1440 Hijiri, sawa na tarehe 17 Machi 2019 Miladia.

  • Onyo kali na lisilo la kawaida la Rais wa Russia kwa Marekani

    Onyo kali na lisilo la kawaida la Rais wa Russia kwa Marekani

    Feb 21, 2019 11:16

    Uhusiano wa Russa na Marekani umekuwa ukizorota kila siku tokea alipoingia madarakani Rais Donald Trump mnamo Januari 2017.

  • Rais Ashraf Ghani: Jeshi la Afghanistan halifungamani tena na askari wa Marekani na NATO

    Rais Ashraf Ghani: Jeshi la Afghanistan halifungamani tena na askari wa Marekani na NATO

    Nov 07, 2018 07:18

    Rais Ashraf Ghani wa Afghanistan amesema kuwa maafisa usalama wa nchi hiyo hawatofungamana tena na Marekani wala Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO) kwa ajili ya kudumisha usalama na uthabiti nchini humo.

  • Libya yapinga uingiliaji wa kijeshi wa madola ajinabi nchini humo

    Libya yapinga uingiliaji wa kijeshi wa madola ajinabi nchini humo

    Oct 06, 2018 15:13

    Mjumbe wa Baraza Kuu la Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Libya amepinga njama za jeshi la nchi za Magharibi NATO za kutaka kuingilia tena kijeshi nchini humo na kusema kuwa, Libya inapinga uingiliaji wowote wa kijeshi wa madola ya kigeni.

  • Kupindisha ukweli Katibu Mkuu wa NATO na hila ya kutaka kuitupia mzigo wa lawama Iran

    Kupindisha ukweli Katibu Mkuu wa NATO na hila ya kutaka kuitupia mzigo wa lawama Iran

    Oct 05, 2018 15:20

    Mtazamo wa kizandiki na kindumakuwili wa Magharibi kwa matukio ya eneo la Magharibi ya Asia hautabadilisha ukweli wa mambo wa yale yanayojiri katika eneo hili; na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, ambayo ni nchi athirifu itaendelea kutoa mchango wake chanya katika uwanja huo.

  • Iran yamjibu Katibu Mkuu wa NATO: Sera hatarishi za Marekani ndizo za kutia wasiwasi zaidi

    Iran yamjibu Katibu Mkuu wa NATO: Sera hatarishi za Marekani ndizo za kutia wasiwasi zaidi

    Oct 04, 2018 07:14

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema, inapasa Katibu Mkuu wa NATO awe na wasiwasi zaidi kutokana na siasa na sera hatarishi za Marekani za kujichukulia maamuzi ya upande mmoja na kutotekeleza mwanachama huyo wa NATO majukumu yake ya kimataifa.

  • NATO yapeleka manowari za kijeshi katika fukwe za Syria

    NATO yapeleka manowari za kijeshi katika fukwe za Syria

    Sep 17, 2018 15:26

    Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO) limepeleka manowari kadhaa katika fukwe za Syria, suala ambalo ni ishara ya wazi ya uungaji mkono wa nchi za Magharibi kwa magaidi wanaofanya jinai na mauaji dhidi ya raia na maafisa wa serikali ya Syria.

  • Wanasayansi Wairani wabuni njia ya kutibu saratani ya kongosho

    Wanasayansi Wairani wabuni njia ya kutibu saratani ya kongosho

    Sep 03, 2018 07:55

    Makala hii huangaiza mafanikio ya sayansi na teknolojia nchini Iran na maeneo mengine duniani.

  • NATO, sababu kuu ya mgogoro wa ndani nchini Libya

    NATO, sababu kuu ya mgogoro wa ndani nchini Libya

    Aug 14, 2018 02:51

    Kamanda wa Jeshi la Taifa la Libya Khalifa Haftar amesema kuwa Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO) ndiyo sababu ya hali mbaya inayoshuhudiwa sasa nchini humo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS