-
Onyo la Guterres kuhusu ushindani na hatari ya vita vya nyuklia duniani
Sep 28, 2023 07:53Antonio Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameonya kuhusu dunia kuingia katika mashindano mapya ya silaha za nyuklia ambayo yanaweza kueneza maafa duniani kote. Katika siku ya mwisho ya mkutano wa mwaka wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, Katibu Mkuu wa Baraza la Usalama amesema mashindano ya silaha yanatia wasiwasi wa kuongezeka karibuni idadi ya silaha za nyuklia ulimwenguni.
-
Kukata tamaa Marekani na Nato kuhusu ushindi wa Ukraine katika vita na Russia
Sep 19, 2023 02:30Jenerali Mark Milley, mkuu wa majeshi ya Marekani, amesema ni vigumu kufikia natija ya haraka kuhusu vita vya Ukraine na kwamba muda mrefu zaidi unahitajika kabla ya Ukraine kufikia ushindi huo.
-
Iran: Chokochoko za NATO ni miongoni mwa sababu kuu za vita vya Ukraine
Aug 07, 2023 12:48Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Hossein Amir-Abdollahian amegusia juhudi za Tehran kuelekea suluhisho la kisiasa la mgogoro wa Ukraine na kusisitiza kuwa muungano wa kijeshi wa NATO unaoongozwa na Marekani na chokochoko ulizofanya ni miongoni mwa sababu zilizopelekea kuzuka mgogoro huo.
-
Biden aonya: Kuipatia Ukraine uanachama wa NATO wakati wa vita kutaishia kwenye Vita vya Tatu vya Dunia
Jul 14, 2023 11:49Rais Joe Biden wa Marekani ameonya kuwa uwezekano wa Ukraine kujiunga na NATO wakati iko vitani na Russia huenda matokeo yake ya mwisho yakawa ni kuzuka Vita vya Tatu vya Dunia.
-
Kubadilika msimamo wa Uturuki kuhusu uanachama wa Sweden katika muungano wa Nato
Jul 13, 2023 02:16Baada ya mivutano mikubwa ya kisiasa kuhusu suala la kujiunga Sweden na Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (NATO), na upinzani wa Uturuki dhiidi ya suala hilo, hatimaye Rais Reccep Tayyep Erdogan amekubali Sweden kuwa mwanachama ndani ya NATO.
-
Russia: Katika masharti yetu ya suluhu ni Ukraine kutokuwa mwanachama wa NATO na EU
May 27, 2023 10:48Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ametangaza kuwa kuachana Ukraine na ndoto ya kujiunga na shirika la kijeshi la NATO na Umoja wa Ulaya EU ni miongoni mwa masharti ya Moscow ya kufanya suluhu na nchi hiyo.
-
Russia: Wakati wa kustaafu NATO umefika
Apr 07, 2023 02:20Akizungumzia kufeli kwa shughuli za Jumuiya ya Kujihami ya Nchi za Magharibi (NATO), msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema wakati wa kustaafu muungano wa NATO umewadia.
-
Mgombea urais wa Uturuki: Nikishinda uchaguzi tutajitoa katika shirika la kijeshi la NATO
Mar 24, 2023 10:00Dogu Princek, kiongozi wa Chama cha Kizalendo (Patriotic Party) na mgombea urais wa Uturuki kwa tiketi ya chama hicho ametoa ahadi kwamba, ikiwa atashinda uchaguzi huo, nchi hiyo itajitoa katika shirika la kijeshi la nchi za Magharibi, NATO.
-
Lavrov: NATO iko vitani na Russia kupitia Ukraine
Jan 20, 2023 12:31Sergey Lavrov, Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa muungano wa kijeshi wa NATO uko vitani na nchi hiyo kupitia Ukraine. Ameongeza kuwa: "Kinachotokea Ukraine ni matokeo ya maandalizi ya Marekani ya vita vya mseto dhidi ya Russia." Ameisitiza kuwa Umoja wa Ulaya umepoteza uhuru wake na sasa uko chini ya satwa ya Marekani moja kwa moja.
-
Russia: Jinai za kivita za Marekani na Nato Afghanistan zimepuuzwa
Dec 21, 2022 07:24Mwakilishi wa Kudumu wa Russia katika Umoja wa Mataifa amesema katika kikao cha Baraza la Usalama la umoja huo kuwa jinai za kivita za Marekani na Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (Nato) huko Afghanistan zimepuuzwa.