-
Alkhamisi, tarehe 3 Agosti, mwaka 2023
Aug 02, 2023 22:56Leo ni Alkhamisi tarehe 16 Mfunguo Nne Muharram 1445 Hijria sawa na tarehe 3 Agosti mwaka 2023.
-
Jumamosi, 03 Agosti, 2019
Aug 03, 2019 02:46Leo ni Jumamosi tarehe Mosi Mfunguo Tatu Dhulhija 1440 Hijria mwafaka na tarehe 3 Agosti 2019 Miladia.
-
Ijumaa tarehe 3 Agosti 2018
Aug 02, 2018 21:53Leo ni Ijumaa tarehe 20 Dhulqaada 1439 Hijria sawa na Agosti 3, 2018.
-
Chad yatuma maelfu ya wanajeshi Niger
Jun 08, 2016 23:08Chad yatuma wanajeshi elfu mbili nchini Niger iili kukabiliana na mashambulizi ya Boko Haram.
-
Makumi wapoteza maisha kwa ugonjwa wa uti wa mgongo Niger
Apr 02, 2016 21:51Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa, makumi ya watu wamepoteza maisha nchini Niger kutokana na ugonjwa wa uti wa mgongo.
-
Serikali ya Niger yaendelea kumshikilia Amadou licha ya kukaribia uchaguzi
Mar 07, 2016 03:12Hama Amadou, hasimu wa Rais Mahamadou Issoufou wa Niger katika duru ya pili ya uchaguzi wa rais nchini humo, bado anaendelea kushikiliwa na vyombo vya dola licha ya kukaribia uchaguzi huo.
-
Wananchi Niger walalamikia uendeshaji mbovu wa uchaguzi
Feb 22, 2016 04:21Wananchi wa Niger wameilalamikia vikali serikali ya nchi hiyo kwa kuendesha vibaya uchaguzi.