-
Maandamano ya wanaopigania kujitenga eneo la kusini mwa Nigeria
Jun 01, 2016 06:59Polisi katika jimbo la Niger Delta kusini mwa Nigeria wameeleza wasiwasi wao kuhusu kuongezeka maandamano ya wanaopigania kujitenga eneo hilo.
-
Rais Buhari atoa amri ya kuongezwa askari eneo la Niger Delta kukabiliana na waasi
May 21, 2016 07:46Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria ametoa amri ya kuongezwa idadi ya askari kwenye eneo lililo na utajiri mkubwa wa mafuta la Niger Delta ambalo limekuwa likishuhudia machafuko kwa muda sasa.
-
Jeshi la Nigeria: Kundi la Boko Haram limepata pigo kubwa
May 16, 2016 16:06Jeshi la Nigeria limetangaza kuwa, limepata mafanikio makubwa katika operesheni yake ya pamoja na jeshi la Cameroon dhidi ya kundi la kigaidi la Boko Haram.
-
Rais Buhari: Serikali itaanzisha operesheni ya kijeshi dhidi ya waasi wa eneo lenye utajiri wa mafuta la Niger Delta
May 08, 2016 13:22Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria ametangaza kuwa, ataliweka katika mipango ya serikali yake suala la kukabiliana na vitisho vya waasi wa eneo lenye utajiri wa mafuta la Niger Delta.
-
Nigeria yasisitiza kutekeleza operesheni imara za kijasusi dhidi ya Boko Haram
May 01, 2016 07:38Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Nigeria amesisitiza juu ya udharura wa kutekeleza operesheni imara za kijasusi dhidi ya kundi la kigaidi la Boko Haram.
-
Nchi zinazopambana na Boko Haram zakosolewa kwa kushindwa kulitokomeza kundi hilo
May 01, 2016 04:21Nchi kadhaa za magharibi mwa Afrika zilizoanzisha muungano wa kijeshi wa kupambana na Boko Haram zinakosolewa kutokana na kushindwa kulitokomeza kundi hilo la kigaidi.
-
Kaburi la umati la Mashia Nigeria laoneshwa na Televisheni ya Ufaransa
Apr 29, 2016 07:09Televisheni ya Ufaransa imeonesha picha za kaburi la umati la Waislamu wa madhehebu ya Shia waliouawa kinyama mwishoni mwa mwaka jana na jeshi la Nigeria.
-
Harakati ya Kiislamu ya Nigeria yaishtaki serikali na jeshi kwa kuendelea kumshikilia Sheikh Ibrahim Zakzaky
Apr 23, 2016 16:11Harakati ya Kiislamu ya Nigeria imeishtaki serikali na jeshi la nchi hiyo kwa kuendelea kumshikilia kinyume cha sheria kiongozi wa harakati hiyo Sheikh Ibrahim Zakzaky.
-
Angola; nchi ya kwanza kwa kuzalisha mafuta barani Afrika
Apr 18, 2016 04:14Angola hivi sasa imekuwa nchi ya kwanza inayozalisha mafuta kwa wingi barani Afrika.
-
Ni ajabu sana jamii ya kimataifa kunyamanzia kimya mauaji ya Waislamu wa Nigeria
Apr 12, 2016 06:46Mwanaharakati mmoja maarufu wa nchini Uingereza amekosoa vikali ukimya wa jamii ya kimataifa juu ya mauaji ya halaiki dhidi ya Waislamu nchini Nigeria.