-
Kukosoa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kampeni za chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu
Mar 12, 2023 12:12Antonio Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amekosoa uenezaji hofu juu ya Uislamu na chuki za aina mbalimbali dhidi ya Uislamu na Waislamu duniani.
-
Unafiki wa nchi za Magharibi kuhusu haki za binadamu
Nov 24, 2022 08:59Matukio ya ndani ya miezi miwili iliyopita nchini Iran yamezifanya nchi za Ulaya zichukue hatua za kihasama za kuiwekea vikwazo na kuitishia Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Kukosoa Guterres ukiritimba na ugavi usio wa kiadilifu wa chanjo ya Corona baina ya mataifa ya dunia
Apr 06, 2021 12:22Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kwa mara nyingine tena amekosoa namna chanjo ya corona inavyozalishwa na kugawiwa baina ya nchi mbalimbali duniani.
-
Assad: Marekani na baadhi ya nchi za Magharibi zinawazuia wakimbizi wasirudi Syria
Nov 11, 2020 14:46Rais Bashar al Assad wa Syria amesema Marekani na baadhi ya nchi za Magharibi zinawazuia wakimbizi wa Syria wasirudi nchini kwao.
-
Taarifa ya mataifa 26 ya dunia ya kulaani vikwazo vya upande mmoja vya Marekani
Oct 07, 2020 03:11Marekani ikiwa na lengo la kusukuma mbele gurudumu la siasa zake za kigeni inashikilia rekodi ya kuwa dola lililoyawekea mataifa mengine ya dunia vikwazo vya upande mmoja.
-
Rais wa Zimbabwe awashambulia Wamagharibi kwa kuingilia masuala ya ndani ya Afrika
May 26, 2020 02:27Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe amezishambulia vikali nchi za Magharibi kwa kuendelea kuingilia masuala ya ndani ya mataifa ya Afrika.
-
Afisa wa zamani wa CIA: Trump amebomoa muungano wa nchi za Magharibi
Jul 29, 2019 04:20Afisa wa zamani wa shirika la ujasusi la Marekani CIA amesema kuwa rais wa nchi hiyo amebomoa muungano wa nchi za Magharibi.
-
Russia: Hatua haribifu za nchi za Magharibi nchini Syria hazina natija
Jun 09, 2019 03:05Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema kuwa, hatua haribifu za nchi za Magharibi nchini Syria hazina natija yoyote.
-
Nchi za Magharibi ikiwemo Marekani zaiomba radhi Afrika Kusini
Feb 05, 2019 16:00Balozi za nchi tano za Magharibi nchini Afrika Kusini zimemuandikia barua ya kuomba radhi Rais Cyril Ramaphosa wa nchi hiyo, baada ya kukiuka protokali za kibalozi.
-
Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi 33 na sauti
Apr 03, 2018 13:55Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 33 ya makala haya yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla katika nchi za Magharibi.