-
Rais wa Zimbabwe awashambulia Wamagharibi kwa kuingilia masuala ya ndani ya Afrika
May 25, 2020 21:57Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe amezishambulia vikali nchi za Magharibi kwa kuendelea kuingilia masuala ya ndani ya mataifa ya Afrika.
-
Afisa wa zamani wa CIA: Trump amebomoa muungano wa nchi za Magharibi
Jul 28, 2019 23:50Afisa wa zamani wa shirika la ujasusi la Marekani CIA amesema kuwa rais wa nchi hiyo amebomoa muungano wa nchi za Magharibi.
-
Russia: Hatua haribifu za nchi za Magharibi nchini Syria hazina natija
Jun 08, 2019 22:35Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema kuwa, hatua haribifu za nchi za Magharibi nchini Syria hazina natija yoyote.
-
Nchi za Magharibi ikiwemo Marekani zaiomba radhi Afrika Kusini
Feb 05, 2019 12:30Balozi za nchi tano za Magharibi nchini Afrika Kusini zimemuandikia barua ya kuomba radhi Rais Cyril Ramaphosa wa nchi hiyo, baada ya kukiuka protokali za kibalozi.
-
Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi 33 na sauti
Apr 03, 2018 09:25Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 33 ya makala haya yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla katika nchi za Magharibi.
-
Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi 31 na sauti
Apr 03, 2018 08:45Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 31 ya makala haya yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla katika nchi za Magharibi.
-
Amnesty yalaani uuzaji wa silaha kwa Saudia, yasema Riyadh imetenda jinai za kivita Yemen
Mar 23, 2018 09:38Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limelaani mwenendo wa nchi za Magharibi hususan Marekani wa kuendelea kuiuzia silaha Saudi Arabia ikisisitiza kuwa utawala wa Riyadh umefanya jinai za kivita nchini Yemen.
-
Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi 27 na sauti
Feb 18, 2018 12:56Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 27 ya makala haya yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla katika nchi za Magharibi.
-
Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi 22 na sauti
Jan 11, 2018 06:58Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 22 ya makala yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla katika nchi za Magharibi.
-
Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi 18 na sauti
Nov 29, 2017 08:42Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 18 ya makala yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla katika nchi za Magharibi.