Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Netanyahu

  • Mchambuzi: Hatua ya Marekani UN ni ulipizaji kisasi wa Obama dhidi ya Netanyahu

    Mchambuzi: Hatua ya Marekani UN ni ulipizaji kisasi wa Obama dhidi ya Netanyahu

    Dec 24, 2016 12:12

    Norman Finkelstein, mwanaharakati na mtaalamu wa Sayansi ya Siasa wa New York, Marekani amesema, Rais wa nchi hiyo Barack Obama alitaka kulipiza kisasi binafsi kwa Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kupitia uamuzi wa kutopiga kura ya kupinga azimio dhidi ya utawala huo wa Kizayuni katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.

  • Wananchi wa Azerbaijan waandamana dhidi ya safari ya Netanyahu

    Wananchi wa Azerbaijan waandamana dhidi ya safari ya Netanyahu

    Dec 13, 2016 04:51

    Wananchi wa Azerbaijan wamefanya maandamano katika mji mkuu wa nchi hiyo Baku, kulaani safari ya Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, Benjamin Netanyahu ambaye anaanza ziara isiyo ya kawaida katika nchi mbili za Kiislamu za Asia ya Kati.

  • Polisi kumchunguza Netanyahu kwa kashfa ya ununuzi wa nyambizi

    Polisi kumchunguza Netanyahu kwa kashfa ya ununuzi wa nyambizi

    Nov 24, 2016 10:52

    Mwanasheria Mkuu wa utawala haramu wa Israel ametoa agizo la kuchunguzwa Waziri Mkuu wa utawala huo wa Kizayuni, Benjamin Netanyahu, anayeandamwa na kashfa ya ununuzi wa nyambizi kutoka Ujerumani.

  • Netanyahu aunga mkono muswada wa kupiga marufuku adhana

    Netanyahu aunga mkono muswada wa kupiga marufuku adhana

    Nov 14, 2016 00:37

    Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel amesema kwamba anaunga mkono kikamilifu muswada unaotaka kupigwa marufuku kusomwa adhana kwa vipaza sauti misikitini katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.

  • VIDEO: Kama ulipitwa na video wakati Netanyahu alipoaibika; wakati mbunge Muislamu wa Uholanzi alipokataa kumpa mkono, ingia hapa kuiona

    VIDEO: Kama ulipitwa na video wakati Netanyahu alipoaibika; wakati mbunge Muislamu wa Uholanzi alipokataa kumpa mkono, ingia hapa kuiona

    Oct 05, 2016 07:15

    Tunahan Kuzu, mbunge Muislamu wa chama cha DENK katika bunge la Uholanzi amekataa kumpa mkono Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel wakati wa safari rasmi aliyofanya kuitembelea nchi hiyo.

  • Uchunguzi wa kashfa za ufisadi dhidi ya Netanyahu waanza rasmi

    Uchunguzi wa kashfa za ufisadi dhidi ya Netanyahu waanza rasmi

    Jul 11, 2016 03:13

    Mwezi mmoja baada ya televisheni ya utawala wa Kizayuni wa Israel kutangaza kuwa, polisi ya utawala huo inaendesha uchunguzi wa siri kuhusiana na kashfa za ufisadi wa fedha dhidi Waziri Mkuu wa utawala huo Benjamin Netanyahu, sasa Mwanasheria Mkuu wa utawala huo amesema uchunguzi huo umefunguliwa rasmi.

  • Wakenya wakerwa na safari ya Netanyahu nchini humo

    Wakenya wakerwa na safari ya Netanyahu nchini humo

    Jul 05, 2016 09:27

    Safari ya Benjami Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel imewakera wananchi wa wengi wa nchi hiyo ya Afrika Mashariki na kulemaza shughuli za kila siku haswa wakazi wa mji mkuu, Nairobi.

  • Israel yatishia kumuua Katibu Mkuu wa Hizbullah

    Israel yatishia kumuua Katibu Mkuu wa Hizbullah

    Mar 24, 2016 03:35

    Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel ametishia kufanya mauaji ya kigaidi dhidi ya Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon.

Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS