Pars Today
Makumi ya wanachama wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Boko Haram, wamejisalimisha kwa jeshi la Niger, katika eneo la Diffa kusini mashariki mwa nchi hiyo.
Rais wa Niger amesema ana wasiwasi wa athari hasi za mashambulizi ya kundi la kigaidi la Boko Haram kwa hali ya kijamii na kiuchumi ya nchi hiyo.
Serikali ya Niger imetangaza hali ya hatari katika mpaka wa nchi hiyo na nchi jirani ya Mali.
Wanajeshi kadhaa ya Niger wameuawa na wengine kujeruhiwa katika shambulio la kigaidi karibu na mpaka wa nchi hiyo na Mali.
Waziri wa Mambo ya Ndani wa Niger ametangaza kuwa, wanachama wengine wa kundi la kigaidi la Boko Haram wamejisalimisha kwa vyombo vya usalama vya nchi hiyo.
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemtumia salamu za pongezi Rais wa Niger Mahamadou Issoufou, kwa mnasaba wa kuadhimishwa Siku ya Taifa ya nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.
Umoja wa Ulaya umetangaza kuwa, utaipatia mamilioni ya dola nchi ya Niger endapo itafanya juhudi za kuwazuia wahajiri wanaolekea Ulaya ambao wanapitia katika nchi hiyo.
Mamia ya wakimbizi wa Kiafrika waliofukuzwa nchini Algeria wameingia katika nchi jirani ya Niger.
Umoja wa Mataifa unakadiria kuwa watu wapatao milioni mbili watahitaji misaada ya kibinadamu nchini Niger.
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Niger imetangaza kuwa watu waliokuwa wamejizatiti kwa silaha nzito wakiwa wamepanda pikipiki na vipando vingine wamevamia kijiji kimoja na kuua askari askari watano karibu na mpaka wa pamoja wa nchi hiyo na Mali.