-
Rais wa Niger ameapishwa leo
Apr 02, 2016 12:03Rais wa Niger ameanza rasmi kazi zake katika kipindi kingine cha urais baada ya kula kiapo leo Jumamosi.
-
Watu 61 wafariki dunia kwa homa ya uti wa mgongo nchini Niger
Mar 30, 2016 01:45Umoja wa Mataifa umeeleza kuwa jumla ya kesi 736 za homa ya uti wa mgongo zimesajiliwa rasmi huko Niger mwaka huu, huku miongoni mwa kesi hizo watu 61 wakiripotiwa kuaga dunia kwa ugonjwa huo nchini humo.
-
Duru ya pili uchaguzi wa rais Niger bila mpinzani
Mar 20, 2016 12:05Duru ya pili ya kiti cha rais nchini Niger imefanyika leo huku kukiwa na hali tete ya usalama na wapinzani wakisusia zoezi hilo na mgombea wa pili akiwa anapata matibabu Ufaransa.
-
Serikali ya Niger yatakiwa kuketi kwenye meza ya mazungumzo na kambi ya upinzani
Mar 13, 2016 23:02Jumuiya ya Wafanyakazi ya Niger imeitaka serikali ya nchi hiyo kufanya mazungumzo na kambi ya upinzani kwa ajili ya kuhitimisha mgogoro wa kisiasa wa nchi hiyo.
-
Upinzani kususia duru ya pili ya uchaguzi wa rais Niger
Mar 09, 2016 04:29Muungano wa upinzani nchini Niger umesema mgombea wake wa kiti cha rais Hama Amadou hatoshiriki katika duru ya pili ya uchaguzi wa rais dhidi ya Rais Mahamadou Issoufou aliyeko madarakani.
-
Mgombea wa urais Niger ambaye yuko jela kuwania duru ya pili
Feb 28, 2016 04:26Rais wa sasa wa Niger Mahamadou Issoufou anayewania kuongoza kwa muhula wa pili atachuana na mpinzani wake wa karibu Hama Amadou, ambaye yuko kizuizini katika duru ya pili ya uchaguzi wa rais uliopangwa kufanyika Machi 20 mwaka huu.
-
Uchaguzi wa Rais nchini Niger waingia duru ya pili
Feb 28, 2016 04:08Uchaguzi wa Rais nchini Niger uliofanyika Jumapili iliyopita na kuwapambanisha wagombea 15 umeingia duru ya pili baada ya kukosekana mshindi katika duru ya kwanza.
-
Wapinzani Niger wakataa matokeo ya awali ya uchaguzi
Feb 24, 2016 04:43Vyama vya upinzani Niger vimepinga matokeo ya awali ya uchaguzi wa rais ambayo yalionyesha rais wa sasa Mahammadou Issofou akiongoza.
-
Wananchi Niger walalamikia uendeshaji mbovu wa uchaguzi
Feb 22, 2016 04:21Wananchi wa Niger wameilalamikia vikali serikali ya nchi hiyo kwa kuendesha vibaya uchaguzi.
-
Wananchi wa Niger washiriki uchaguzi wa rais
Feb 21, 2016 12:32Wananchi wa Niger waliotimiza masharti ya kupiga kura, leo wameelekea kwenye masanduku ya kupigia kura kumchagua rais atakayeiongoza nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika, ambayo kwa muda sasa imekuwa ikikabiliwa na shambulio moja baada ya jingine kutoka kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram.