-
Jenerali Tumba: Ufaransa haitaki kuwaondoa wanajeshi wake Niger
Oct 04, 2023 06:40Waziri wa Mambo ya Ndani wa Baraza la Kijeshi linaloongoza Niger ameeleza kuwa Ufaransa haina mpangp wa kuwaondoa wanajeshi wake mjini Niamey.
-
Niger yakubali mpango wa Algeria wa kutatua mzozo wa ndani wa nchi hiyo
Oct 02, 2023 15:12Wizara ya Mambo ya Nje ya Algeria ilimengaza kuwa, Niger imekubaliana na mpango wa Algiers wa kutatua mgogoro wa ndani wa nchi hiyo ya Magharibi mwa Afrika.
-
Raia wa Niger washambulia lori la Ufaransa lililokuwa limebeba maji
Sep 30, 2023 15:46Raia wa Niger wamelishambulia lori la Ufaransa lililokuwa limebeba maji kwa ajili ya wanajeshi wa nchi hiyo walioko nchini humo kinyume cha sheria.
-
Wanajeshi 12 wa Niger wauawa katika shambulizi la wanamgambo
Sep 29, 2023 13:29Waziri wa Ulinzi wa Niger ametangaza habari ya kuuawa wanajeshi wasiopungua 12 wa nchi hiyo katika shambulizi la kundi la wanamgambo kusini magharibi mwa nchi.
-
Kusalimu amri Ufaransa mbele ya takwa la Niger
Sep 26, 2023 10:32Hatimaye, baada ya wiki kadha za vuta nikuvute, Ufaransa imesalimu amri mbele ya takwa la Niger na kutangaza kwamba, balozi wa Ufaransa nchini Niger, Sylvian Itte, atarejea Paris katika saa chache zijazo.
-
Macron adai waliofanya mapinduzi Niger "wanamshikilia" balozi wa Ufaransa
Sep 16, 2023 08:10Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron, alidai jana Ijumaa kwamba balozi wa nchi yake nchini Niger, Sylvain Itte, "anazuiliwa" na utawala wa kijeshi wa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika, akiashiria kwamba chakula anachokula ni "mgao wa chakula cha kijeshi."
-
Moscow: Marekani inatafakari kuwaua viongozi wa mapinduzi Niger
Sep 08, 2023 07:19Shirika la Kijasusi la Russia nje ya nchi (SVR) limeonya kuwa, serikali ya Marekani inatafakari suala la kuwaua kigaidi viongozi walioongoza mapinduzi ya kijeshi nchini Niger.
-
Waziri Mkuu wa Niger: Balozi wa Ufaransa hana nafasi katika nchi yetu
Sep 05, 2023 07:36Waziri Mkuu wa Niger amemtaka balozi wa Ufaransa kuondoka mara moja nchini humo.
-
Maandamano ya kutaka kufukuzwa askari wa Ufaransa yashtadi Niger
Sep 02, 2023 11:09Maelfu ya wananchi wa Niger wamefanya maandamano katika mji mkuu Niamey, kuonyesha uungaji mkono wao kwa serikali ya kijeshi inayotawala hivi sasa, na kutaka kufukuzwa nchini humo wanajeshi na wanadiplomasia wa Ufaransa katika nchi hiyo ya Afrika Magharibi.
-
Polisi wa Niger wanaendelea kuzingira ubalozi wa Ufaransa
Sep 02, 2023 02:44Polisi nchini Niger wanaendelea kuzingira majengo ya ubalozi wa Ufaransa mjini Niamey, huku Baraza la Kijeshi linalotawala nchi hiyo likichukua uamuzi wa kupiga marufuku shughuli za mashirika ya kimataifa na yasiyo ya kiserikali.