-
Umoja wa Afrika (AU) waisimamishia uanachama Niger
Aug 23, 2023 02:39Umoja wa Afrika (AU) umesimamisha uanachama wa Niger katika taasisi hiyo kubwa zaidi ya kibara; huo ukiwa ni muendelezo wa vikwazo na mashinikizo dhidi ya nchi hiyo ya Afrika Magharibi kufuatia mapinduzi ya kijeshi ya mwezi uliopita.
-
Uwezekano wa shambulio la kijeshi dhidi ya Niger wazidi kupata nguvu
Aug 20, 2023 11:13Huku mzozo wa kisiasa nchini Niger ukiendelea, ECOWAS (Jumuiya ya Kiuchumi ya Afrika Magharibi) imeamua kufanya shambulio la kijeshi dhidi ya nchi hiyo, lakini haijatangaza tarehe ya kuanza shambulio hilo.
-
Kiongozi wa mapinduzi Niger: Tuko tayari kwa mazungumzo, na vita ikilazimu
Aug 20, 2023 06:53Kiongozi wa mapinduzi yaliyomuondoa madarakani Rais Mohammed Bazoum wa Niger amesema yupo tayari kufanya mazungumzo ili kuepusha mgogoro na mapigano baina ya nchi hiyo na Jumuiya Kiuchumi ya Magharibi mwa Afrika (ECOWAS) lakini anasisitiza kuwa, taifa hilo limejiandaa kujihami.
-
Taharuki yatanda nchini Niger baada ya ECOWAS kuamua tarehe ya kuishambulia nchi hiyo
Aug 20, 2023 02:28Mji mkuu wa Niger, Niamey, unashuhudia vuguvugu na taharuki kubwa ya jeshi na wananchi wanaowaunga mkono viongozi wa mapinduzi wakipinga uwezekano wa uingiliaji kijeshi wa nchi wanachama wa Jumuiya Kiuchumi ya Magharibi mwa Afrika (ECOWAS) nchini humo.
-
Zakzaky: US, Ufaransa zinataka kuibua uhasama baina ya Nigeria na Niger
Aug 19, 2023 10:30Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (IMN) ametahadharisha juu ya njama na majungu yanayopikwa na Marekani na Ufaransa ya kupanda mbegu za chuki, uhasama na mifarakano baina ya Nigeria na jirani yake Niger.
-
Wanajeshi 17 wa Niger wauawa katika shambulizi la kigaidi
Aug 17, 2023 03:14Kwa akali wanajeshi 17 wa Niger wameuawa katika shambulizi la kuvizia linaloripotiwa kufanywa na magaidi.
-
Hatua ya Burkina Faso ya kufuta mikataba ya kikoloni ya Ufaransa
Aug 17, 2023 02:29Rais Ibrahim Traoré wa Burkina Faso ametangaza kuwa nchi yake imefuta mikataba kadhaa iliyokuwa imesaini na serikali ya Ufaransa, ambayo hadi sasa imekuwa na sura ya ukoloni na ya kujali maslahi ya upande mmoja.
-
Algeria: Uingiliaji wa kijeshi nchini Niger utatishia utulilvu wa eneo zima
Aug 16, 2023 06:28Mkuu wa Jeshi la Algeria ameonya kuhusu jaribio la kuivamia kijeshi Niger na kusema kuwa uvamizi wowote wa kijeshi wa madola ya kigeni nchini Niger utatishia utulivu na usalama wa eneo zima la Sahel ya Afrika.
-
UN, ECOWAS zapinga kushtakiwa rais aliyepinduliwa wa Niger
Aug 15, 2023 07:32Umoja wa Mataifa na Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Magharibi mwa Afrika (ECOWAS) zimeeleza kutiwa wasiwasi na tangazo la jeshi la Niger kuwa litamfungulia mashtaka rais aliyeondolewa madarakani, Mohamed Bazoum kwa tuhuma za kufanya uhaini mkubwa.
-
Kusitisha serikali ya Mali utoaji visa kwa raia wa Ufaransa
Aug 15, 2023 02:26Mvutano kati ya nchi za ukanda wa Sahel ya Afrika na Ufaransa unazidi kuongezeka.