-
Makumi waaga dunia katika mripuko wa lori la mafuta nchini Nigeria
Sep 09, 2024 06:26Makumi ya watu wamepoteza maisha baada ya lori la kubeba mafuta kuripuka baada ya kugongana na gari jingine kaskazini mwa Nigeria.
-
Nigeria: BRICS inayahamasisha mataifa ya Afrika
Aug 29, 2024 23:09Balozi wa Manispaa ya Kimataifa ya BRICS (IMBRICS) nchini Nigeria amesema jumuiya ya kiuchumi ya BRICS imekuwa chanzo kikubwa cha motisha na hamasa kwa nchi nyingi za Afrika, kwa kuwa inazihimiza kupigania uhuru wao na kupinga ushawishi na ubeberu wa Magharibi.
-
Wananchi wa Nigeria wakasirishwa na ndege mpya ya rais iliyogharimu dola milioni 100
Aug 26, 2024 22:41Ununuzi wa hivi karibuni wa ndege mpya ya Rais wa Nigeria, Bola Tinubu, iliyogharimu dola za Kimarekani milioni 100 umewakasirisha sana wananchi wa nchi hiyo.
-
Watu 30 wauawa katika shambulio la wanamgambo nchini Nigeria
Aug 10, 2024 09:24Kwa akali watu 30 wameuawa katika jimbo la Benue nchini Nigeria baada ya kundi la wanamgambo kufanya mashambulio dhidi ya kijiji cha Ayati.
-
Wanaigeria warejea mitaani licha ya ombi la Rais
Aug 06, 2024 04:32Wananchi katika mji wa Lagos, Nigeria jana walimiminika mitaani kuendelea na maandamano yao ya kupinga hali mbaya ya uchumi licha ya ombi la Rais wa nchi hiyo Bola Tinubu la kusitishwa maandamano.
-
Watu wasiopungua 22 wamefariki dunia baada ya jengo la shule kuporomoka Nigeria
Jul 13, 2024 08:13Watu wasiopungua 22 wakiwemo wanafunzi kadhaa wamethibitika kupoteza maisha baada ya jengo la shule ya ghorofa mbili kuporomoka katikati mwa Nigeria. Taarifa hii imebainishwa leo na maafisa husika wa Nigeria ambao wamesema zoezi la kuwatafuta watu wengine zaidi ya 100 waliosalia chini ya vifusi vya jengo hilo linaendelea.
-
Watu 18 wauawa katika mashambulizi ya kigaidi jimboni Borno, Nigeria
Jun 30, 2024 07:55Kwa akali watu 18 wamepoteza maisha huku makumi ya wengine wakijeruhiwa kufuatia wimbi la mashambulizi ya kigaidi katika jimbo la Borno, kaskazini mashariki mwa Nigeria.
-
Jeshi la Nigeria laangamiza magaidi 2,245 ndani ya miezi 3
Jun 29, 2024 08:49Mkurugenzi wa shughuli za vyombo vya habari vya jeshi la Nigeria, Meja Jenerali Edward Buba amesema kuwa watu 1,993 waliokuwa wametekwa nyara wameokolewa baada ya wahalifu kupewa kikomboleo huku, silaha 2,783 za magaidi zikinaswa.
-
Watu 7 wauawa, 100 watekwa nyara kaskazini mwa Nigeria
Jun 24, 2024 06:44Genge moja la wabeba silaha limevamia kijiji kimoja huko kaskazini magharibi mwa Nigeria na kuua watu wasiopungua saba, mbali na kuteka nyara makumi ya wengine.
-
Mripuko wa kipindupindu waua makumi ya watu nchini Nigeria
Jun 20, 2024 23:15Idadi ya watu waliopoteza maisha kutokana na mripuko mpya wa ugonjwa wa kipindupindu katika jimbo la Lagos, kusini magharibi mwa Nigeria imeongezeka na kufikia 21.