-
Waliouawa katika mashambulio ya wabeba silaha Nigeria waongezeka na kufikia 160
Dec 26, 2023 06:09Idadi ya watu waliouawa katika mashambulio yaliyofanywa na makundi ya wabeba silaha kwenye vijiji vya jimbo la Plateau katikati mwa Nigeria imeongezeka na kufikia 160.
-
Watu 16 wauawa katika mapigano jimboni Plateau, kaskazini mwa Nigeria
Dec 25, 2023 10:43Kwa akali watu 16 wameuawa katika shambulio la wabeba silaha katika jimbo la Plateau, kaskazini ya kati ya Nigeria.
-
Rais Tinubu wa Nigeria asikitishwa na kuuliwa kwa bahati mbaya raia 85; ataka uchunguzi ufanyike
Dec 05, 2023 11:58Shambulio la ndege zisizo na rubani la jeshi la Nigeria liliwaua kwa bahati mbaya raia 85 juzi Jumapili katika kijiji kimoja kaskazini-magharibi mwa Jimbo la Kaduna huko Nigeria.
-
Wanigeria waandamana wakitaka kukatwa uhusiano na Israel
Dec 03, 2023 10:42Kwa mara nyingine tena, maelfu ya Waislamu na waungaji mkono wa Palestina katika mji wa Kano, kaskazini mwa Nigeria wameandamana na kulaani jinai za utawala haramu wa Israel dhidi ya wananchi madhulumu wa Palestina hasa wa Ukanda wa Gaza.
-
Wanajeshi wa Nigeria waua zaidi ya magaidi 180 wenye silaha ndani ya wiki moja
Dec 02, 2023 10:37Jeshi la Nigeria limetangaza kuwa, limeua zaidi ya magaidi 180 wanaoaminika kuendesha mashambulizi ya kigaidi katika kona mbalimbali za nchi hiyo.
-
Rais wa zamani wa Nigeria: Demokrasia ya Magharibi imefeli barani Afrika
Nov 22, 2023 03:29Rais wa zamani wa Nigeria Olusegun Obasanjo amesema, demokrasia ya Magharibi imeshindwa kufanya kazi kama mfumo wa serikali barani Afrika kwa sababu iliwekwa na mamlaka za kikoloni.
-
Wananchi wa Kano Nigeria waandamana kulaani jinai za Israel Ukanda wa Gaza
Nov 12, 2023 13:10Maelfu ya Waislamu na waungaji mkono wa Palestina katika mji wa Kano, Nigeria wameandamana na kulaani jinai za utawala haramu wa Israel dhidi ya wananchi madhulumu wa Palestina hasa wa Ukanda wa Gaza.
-
Wanafunzi 13 wauawa wakisherehekea Maulidi Nigeria
Nov 07, 2023 13:22Kwa akali wanafunzi 13 wa madrasa ya Kiislamu wameuawa katika shambulizi la wabeba silaha katika jimbo la Katsina, kaskazini mashariki mwa Nigeria.
-
Mahakama ya Juu Nigeria yatupa rufaa za kupinga ushindi wa Rais Tinubu
Oct 27, 2023 02:31Mahakama ya Juu ya Nigeria imetupilia mbali rufaa zilizowasilishwa kwake na vyama vya upinzani kupinga ushindi wa Rais Bola Tinubu katika uchaguzi tata wa rais wa mwezi Februari mwaka huu.
-
Rais Ebrahim Raisi: Jinai za Wazayuni ni sura halisi ya ubaguzi na ukoloni wa Magharibi
Oct 25, 2023 15:25Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezitaja jinai zinazofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza na uungaji mkono wa nchi za Magharibi kwa jinai hizo kuwa ni sura halisi ya ubaguzi wa rangi na ukoloni wa nchi za Magharibi.