-
Wananchi wa Kano Nigeria waandamana kulaani jinai za Israel huko Gaza
Oct 21, 2023 13:45Waislamu na waungaji mkono wa Palestina katika mji wa Kano, Nigeria wameandamana na kutangaza himaya na uungaji mkono wao kwa wananchi madhulumu wa Palestina hasa wa Ukanda wa Gaza.
-
Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu Nigeria: Kimbunga cha Al-Aqsa ni mwanzo wa kushindwa utawala wa Kizayuni
Oct 20, 2023 13:50Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (NIM) amesisitiza kuwa: operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa ni mwanzo wa kushindwa na kurudi nyuma jeshi lenye nguvu bandia la utawala wa Kizayuni.
-
Ugonjwa wa dondakoo wauwa watu 600 Nigeria, wengi wakiwa ni watoto
Oct 13, 2023 02:37Nigeria imekumbwa na mlipuko mkubwa wa ugonjwa wa (Dondakoo) yaani Diphtheria ambao umepelekea vifo vya zaidi ya watu 600, haswa watoto, tangu mwezi Desemba mwaka 2022.
-
Mripuko kwenye kiwanda cha kusafisha mafuta Nigeria waua 37
Oct 03, 2023 12:36Watu wasiopungua 37 wamefariki dunia katika mripuko uliotokea katika kiwanda kimoja cha kusafishia mafuta kilichokuwa kinafanya kazi kinyume cha sheria huko kusini mwa Nigeria.
-
Jumapili, Mosi Oktoba, 2023
Oct 01, 2023 02:36Leo ni Jumapili tarehe 15 Mfunguo Sita Rabiul-Awwal 1445 Hijria sawa na tarehe Mosi Oktoba 2023 Miladia.
-
Bazoum "akimbilia" mahakama ya ECOWAS, ataka aachiwe huru
Sep 21, 2023 07:35Rais aliyepinduliwa wa Niger, Mohamed Bazoum, amewasilisha kesi mbele ya Mahakama ya Haki ya Jumuiya ya Kiuchumi ya Afrika Magharibi (ECOWAS) akitaka aachiliwe huru.
-
Waislamu Nigeria waadhimisha Arubaini ya Imam Hussein AS
Sep 06, 2023 10:37Waislamu ya madhehebu ya Shia nchini Nigeria wamefanya marasimu, matembezi na vikao vya kuadhimisha Arubaini ya Imam Hussein (AS).
-
Rais Tinubu awarejesha nyumbani mabalozi wote wa Nigeria
Sep 03, 2023 07:23Rais wa Nigeria, Bola Ahmed Tinubu amewaagiza mabalozi wote wa nchi hiyo ya Afrika Magharibi katika kona zote za dunia kurejea nyumbani.
-
Shambulizi la kigaidi msikitini laua Waislamu 7 Nigeria
Sep 03, 2023 03:27Genge moja la kigaidi limeshambulia Msikiti mmoja wa jimbo la Kaduna la kaskazini magharibi mwa Nigeria na kuua Waislamu wasiopungua saba.
-
Nigeria yaahidi kupunguza vikwazo vya ECOWAS dhidi ya Niger
Aug 30, 2023 13:24Msemaji wa ofisi ya rais wa Nigeria amesema nchi hiyo pamoja na Jumuiya ya Kiuchumi ya Mataifa ya Afrika Magharibi, ECOWAS zitapunguza baadhi ya vikwazo zilivyoiwekea Niger.