Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Nigeria

  • Rais Buhari wa Nigeria aongeza muda wa kubadilisha noti za zamani hadi Aprili

    Rais Buhari wa Nigeria aongeza muda wa kubadilisha noti za zamani hadi Aprili

    Feb 17, 2023 10:12

    Rais wa Nigeria, Muhammadu Buhari, ametoa idhini kwa Benki Kuu ya nchi hiyo kuongeza muda wa mwisho wa kubadilisha noti za zamani za pesa za nchi hiyo hadi Aprili 10 mwaka huu, baada ya uhaba wa pesa kuchochea hasira na ukosoaji wa wananchi kabla ya uchaguzi wa Rais na Bunge baadaye mwezi huu.

  • Uchaguzi wa Nigeria: Jeshi lakanusha madai ya njama ya mapinduzi kabla ya uchaguzi

    Uchaguzi wa Nigeria: Jeshi lakanusha madai ya njama ya mapinduzi kabla ya uchaguzi

    Feb 13, 2023 07:55

    Jeshi la Nigeria limekanusha madai ya chama tawala kwamba linapanga kuvuruga uchaguzi ujao wa rais nchini humo

  • IMN: Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yamekuwa na taathira kubwa kwa watu wa Nigeria

    IMN: Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yamekuwa na taathira kubwa kwa watu wa Nigeria

    Feb 08, 2023 22:51

    Mmoja kati ya viongozi wa ngazi ya juu wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (IMN) amesema kuwa Mapinduzi ya Kiislamu yya Iran yameleta matumaini kote ulimwenguni.

  • Watu 40 wauawa katika mapigano jimboni Katsina, Nigeria

    Watu 40 wauawa katika mapigano jimboni Katsina, Nigeria

    Feb 04, 2023 03:56

    Watu zaidi ya 40 wameuawa katika mapigano baina ya kundi la wabeba silaha na wanakijiji waliojitolea kulinda usalama katika jimbo la Katsina, kaskazini mwa Nigeria.

  • Tume ya haki za binadamu ya Nigeria kulichunguza jeshi kuhusu madai ya utoaji mimba

    Tume ya haki za binadamu ya Nigeria kulichunguza jeshi kuhusu madai ya utoaji mimba

    Feb 01, 2023 23:34

    Tume ya haki za binadamu ya Nigeria imeteua jopo maalumu ambalo jukumu lake litajumuisha kuchunguza ripoti ya Reuters kwamba jeshi liliendesha mpango wa siri wa uavyaji mimba katika mapambano yake dhidi ya makundi yenye silaha kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.

  • Mripuko wa bomu waua makumi ya watu katikati ya Nigeria

    Mripuko wa bomu waua makumi ya watu katikati ya Nigeria

    Jan 26, 2023 23:12

    Wafugaji 27 wa kabila la Fulani wamepoteza maisha huku wengine wengi wakijeruhiwa, baada ya bomu kuwaripukia katika kijiji cha Rukubi, katika mpaka wa majimbo ya Nasarawa na Benue, katikati ya Nigeria.

  • Mkutano wa ahadi wa kusaidia Bonde la Ziwa Chad umeanza nchini Niger

    Mkutano wa ahadi wa kusaidia Bonde la Ziwa Chad umeanza nchini Niger

    Jan 24, 2023 03:40

    Serikali za Niger, Ujerumani na Norway, pamoja na Umoja wa Mataifa zinashiriki kwa pamoja mkutano wa tatu wa ngazi ya juu kuhusu Kanda ya Bonde la Ziwa Chad, ambao ulianza jana na kuendelea leo katika kituo cha mikutano cha kimataifa cha Mahatma Gandhi katika mji mkuu wa Niger, Niamey.

  • Waislamu wa Nigeria wakosoa uchochezi wa jarida la Kifaransa

    Waislamu wa Nigeria wakosoa uchochezi wa jarida la Kifaransa

    Jan 07, 2023 06:55

    Waislamu nchini Nigeria wamelaani kitendo cha dharau, kejeli na udhalilishaji cha jarida la Ufaransa la Charlie Hebdo cha kuchapisha vibonzo vya kumvunjia heshima Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu.

  • Ajali mbili za barabarani zaua watu 21 Nigeria

    Ajali mbili za barabarani zaua watu 21 Nigeria

    Dec 28, 2022 08:02

    Polisi ya Nigeria imetangaza kuwa, watu 21 wamefariki dunia kutokana na ajali mbili za barabarani zilizotokea nchini humo siku ya Jumatatu na Jumanne.

  • Magaidi wa Boko Haram waua raia 17 kaskazini mwa Nigeria

    Magaidi wa Boko Haram waua raia 17 kaskazini mwa Nigeria

    Dec 27, 2022 04:07

    Vyombo vya habari vya Nigeria vimetangaza kuwa, watu 17 wameuawa kaskazini mashariki mwa nchi hiyo kufuatia shambulio lililofanywa na magaidi wa kundi la Boko Haram.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS