-
Gharama za maisha zapanda pakubwa Nigeria huku watu maskini wakiongezeka nchini
Dec 25, 2022 04:04Kitengo cha Taifa cha Takwimu nchini Nigeria kimetangaza kuwa gharama za maisha zimeongezeka huku jamii ya watu maskini ikiongezeka pia nchini humo.
-
Kipindupindu chaua watu 51 kusini mwa Nigeria
Dec 20, 2022 03:59Idadi ya watu waliopoteza maisha kutokana na mripuko mpya wa ugonjwa wa kipindupindu kusini mwa Nigeria imeongezeka na kufikia 51.
-
Zakzaky: Mauaji ya Zaria ni ishara ya Waislamu wa Nigeria kuwa katika njia sahihi
Dec 14, 2022 04:22Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria amesema kuwa, mauaji ya umati ya Zariya yaliyofanywa na vyombo vya usalama vya nchi hhiyo ni ishara ya wazi kwamba, Waislamu wa taifa hilo wamo katika njia sahihi.
-
Jeshi la Nigeria latuhumiwa kuua watoto katika vita dhidi ya ugaidi
Dec 13, 2022 03:53Jeshi la Nigeria linatuhumiwa kufanya mauaji makubwa dhidi ya watoto katika operesheni zake za kupambana na magenge ya kigaidi.
-
Waislamu wa Nigeria waandamana kulaani ukandamizaji wa Mashia Azerbaijan
Dec 11, 2022 09:10Wananchi Waislamu wa Nigeria wameandamana katika mji mkuu wa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika kulalamikia mbinyo na ukandamizaji dhidi ya Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Azerbaijan.
-
Waislamu wa Nigeria waandamana katika hauli ya mashahidi wa Zaria
Dec 10, 2022 09:24Wananchi wa Nigeria wameandamana katika miji mbalimbali ya nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika katika hauli na kumbukumbu ya mashahidi waliouawa katika mauaji yaliyofanywa na vikosi vya usalama katika mji wa Zaria miaka saba iliyopita.
-
Raia 3 wa Nigeria wasalia chini ya meli kwa siku 11 na kufika katika visiwa vya Canary
Nov 29, 2022 23:35Kikosi cha Uokoaji wa Baharini cha Uhispania kimewaokoa watu watatu waliokuwa wamejificha chini ya meli moja ya mafuta iliyopakia kutoka Nigeria ikielekea katika visiwa vya Canary.
-
Boko Haram waua askari 10 wa Chad katika mpaka wa Nigeria
Nov 23, 2022 02:59Wapiganaji wa kundi la kigaidi la Boko Haram wamewaua wanajeshi 10 wa Chad katika eneo la mpakani baina ya nchi hiyo na Nigeria.
-
Magaidi washambulia mji na kambi ya jeshi na kuua askari, raia
Nov 21, 2022 07:22Wanachama wa genge moja la kigaidi wameshambulia kambi ya jeshi na mji mmoja huko kaskazini mashariki mwa Nigeria na kuua idadi kubwa ya raia na maafisa usalama.
-
Wanamgambo waua wanakijiji 12 kaskazini mwa Nigeria
Nov 17, 2022 03:32Watu wenye silaha nchini Nigeria wameshambulia kijiji kimoja na kuwaua watu wasiopungua 12 katika shambulizi jipya huko kaskazini-magharibi mwa nchi hiyo.