-
Watu 45 wauawa na magaidi wenye silaha katika mji wa Faru, Nigeria
Jul 10, 2021 03:08Kundi la wanamgambo wenye silaha limeshambulia mji wa Faru wa kaskazini magharibi mwa Nigeria na kuua kwa akali watu 45 na kuwajeruhi makumi ya wengine.
-
Nigeria: Watu wenye silaha wameteka nyara wanafunzi 140 katika jimbo la Kaduna
Jul 05, 2021 22:04Kundi moja la wanamgambo wenye silaha limewateka nyara wanafunzi 140 katika shambulio lililofanya katika shule moja ya sekondari katika jimbo la Kaduna, huko kaskazini magharibi mwa Nigeria usiku wa kuamkia Jumapili iliyopita.
-
Makumi wa wanachama wa Boko Harama waangamizwa na jeshi la Nigeria
Jul 03, 2021 08:09Jeshi la Nigeria limetangaza habari ya kuangamiza makumi ya magaidi wa kundi la kigaidi la Boko Haram katika jimbo la Borno, kaskazini mashariki mwa nchi.
-
Kuakhirishwa kesi ya Sheikh Zakzaky na njama za mabeberu nchini Nigeria
Jul 03, 2021 06:22Mahakama ya Nigeria kwa mara nyingine tena imeakhirisha kikao cha kusikilizwa kesi ya kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (IMN), Sheikh Ibrahim Zakzaky hadi tarehe 28 Julai licha ya Waislamu wa nchi hiyo kutaka mwanazuoni huyo aachiwe huru.
-
Kesi ya Sheikh Ibrahim Zakzaky yapigwa tarehe tena nchini Nigeria
Jul 02, 2021 02:13Mahakama ya Nigeria imeipiga tena tarehe kesi ya kiongozi wa Harakati ya Kisilamu ya Nigeria, Sheikh Ibrahim Zakzaky hadi mwishoni mwa mwezi huu wa Julai.
-
Wabeba silaha 14 waliojaribu kushambulia kituo cha polisi Nigeria wauawa
Jun 20, 2021 22:22Polisi nchini Nigeria imefanikiwa kuangamiza wabeba silaha 14 waliojaribu kuvamia kituo kimoja cha polisi katika jimbo la Benue, la katikati mwa nchi.
-
Wanafunzi wengine zaidi ya 80 watekwa nyara nchini Nigeria
Jun 18, 2021 03:32Zaidi ya wanafunzi 80 wa Nigeria wametekwa nyara katika shambulizi la watu waliokuwa na silaha huko Kaskazini Magharibi mwa Nigeria.
-
Nigeria: Kifo cha kiongozi wa Boko Haram kimethibitishwa bila shaka yoyote
Jun 17, 2021 08:02Kifo cha aliyekuwa kiongozi wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la wanamgambo wa Boko Haram wenye makao yao nchini Nigeria kimethibitishwa pasina shaka yoyote. Taarifa hiyo imetolewa kupitia tangazo kwa njia ya video lililotolewa na kiongozi mpya wa Boko Haram, Bakura Modu.
-
Kero la ugaidi; 50 wauawa Burkina Faso na Nigeria
Jun 15, 2021 22:05Jeshi la Burkina Faso limetangaza kuwa magaidi 25 wameuliwa katika operesheni iliyofanywa na askari wa jeshi hilo.
-
Polisi ya Nigeria yafyatua gesi ya kutoa machozi katika maadhimisho ya Siku ya Demokrasia
Jun 12, 2021 22:20Polisi wa Nigeria wamefyatua gesi ya kutoa machozi kutawanya waandamanaji wanaopinga serikali huko Lagos na katika mji mkuu, Abuja, na ripoti zinasema kuwa baadhi ya wanaadamanaji hao wakamatwa na wengine kujeruhiwa.