-
Watu kadhaa wauawa katika ghasia za uchaguzi nchini Nigeria
Feb 24, 2019 10:52Asasi za kiraia na timu za waangalizi wa uchaguzi nchini Nigeria zimetangaza habari ya kuuawa makumi ya watu katika ghasia za uchaguzi mkuu uliofanyika jana Jumamosi.
-
Raia 14 wauawa katika shambulio la kundi la kigaidi la Boko Haram nchini Nigeria
Feb 20, 2019 23:25Raia wasiopungua 14 wameuawa nchini Nigeria na makumi ya wengine kujeruhiwa kufuatia shambulio la kundi la kigaidi la Boko Haram.
-
Idadi ya waliouawa katika shambulizi la wabeba silaha Nigeria yapindukia 130
Feb 19, 2019 23:13Gavana wa jimbo la Kaduna lililoko kaskazini magharibi mwa Nigeria amesema idadi ya watu waliouawa katika shambulizi la watu wenye silaha Ijumaa iliyopita imeongezeka maradufu.
-
Kuakhirishwa uchaguzi sambamba na kuongezeka mivutano nchini Nigeria
Feb 17, 2019 09:37Katika hali ambayo uchaguzi mkuu wa rais wa Nigeria ulikuwa umepangwa kufanyika Jumamosi tarehe 16 Februari, tume ya uchaguzi ya nchi hiyo imeuakhirisha ghafla na kutangaza kuwa sasa utafanyika Jumamosi ijayo ya tarehe 23.
-
Upinzani Nigeria: Kuakhirishwa uchaguzi ni njama za kumbakisha Buhari madarakani
Feb 16, 2019 09:15Chama kikuu cha upinzani nchini Nigeria kimetilia shaka uamuzi wa Tume ya Uchaguzi wa kuakhirisha uchaguzi, kikisisitiza kuwa kitendo hicho ni hatari kwa taifa na kina lengo la kuandaa mazingira ya kuiba kura kwa maslahi ya rais wa sasa.
-
Nigeria yaakhirisha ghafla uchaguzi wa rais
Feb 16, 2019 04:41Tume ya Uchaguzi nchini Nigeria imeakhirisha kwa wiki moja uchaguzi mkuu uliotazamiwa kufanyika hii leo.
-
'Walipizaji Kisasi wa Delta' waapa kuulemaza uchumi wa Nigeria endapo Buhari atachaguliwa tena kuwa rais
Feb 14, 2019 12:07Kundi la wanamgambo linalojiita Walipizaji Kisasi wa Delta (Delta Avengers) linaloendesha harakati zake katika eneo lenye utajiri wa mafuta la Niger Delta kusini mwa Nigeria limetishia kuwa litausambaratisha na kuulemaza uchumi wa nchi hiyo endapo Rais Muhammadu Buhari atachaguliwa tena katika uchaguzi utakaofanyika siku ya Jumamosi.
-
Watu kadhaa wapoteza maisha katika mkanyagano nchini Nigeria
Feb 13, 2019 03:58Watu wasiopungua 14 wameaga dunia katika mkanyagano uliotokea katika mkutano wa kisiasa kusini mwa Nigeria.
-
IMN: Jeshi la Nigeria linapanga njama ya kumuua Sheikh Zakzaky
Feb 07, 2019 03:56Harakati ya Kiislamu Nigeria (IMN) imetoa taarifa na kusema jeshi la nchi hiyo linapanga njama ya kumua kiongozi wa harakati hiyo, Sheikh Ibrahim Zakzaky anayeshikiliwa korokoroni.
-
Amnesty: Boko Haram imeua watu 60 kaskazini mwa Nigeria
Feb 02, 2019 09:11Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema watu wasiopungua 60 wameua na wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram kaskazini mashariki mwa Nigeria.