-
UN: Robo ya wananchi wa Somalia wameathiriwa na ukame
Dec 24, 2025 02:34Msemaji wa Umoja wa Mataifa amesema ukame umeathiri zaidi ya watu milioni 4.6 nchini Somalia, karibu robo ya idadi ya watu wa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Ana kazi lakini ana njaa; kwa nini wazazi wa Uingereza wanatafuta misaada ya chakula?
Dec 16, 2025 02:50Kadiri uchumi wa Uingereza unavyozidi kulegea na kuporomoka, takribani robo ya wazazi wenye ajira nao wanalazimika kutafuta msaada wa chakula cha bure kutoka mashirika ya hisani.
-
Foleni za watu wenye njaa huko Ghaza zimezidi kuwa ndefu + Picha
Nov 30, 2025 02:36Licha ya kusitishwa mapigano huko Ghaza, lakini bado mateso ya njaa na ukosefu wa usalama na utulivu wa nafsi yanaendelea kuzisumbua familia za Wapalestina. Foleni ndefu za watu wenye njaa wanaosubiri kupata angalau mlo mmoja kwa siku zinaendelea kuonekana katika pembe mbalimbali za ukanda huo huku jeshi katili la Israeli likiendeleza mashambulizi ya mara kwa mara na kuzuia kuwafikia misaada wananchi hao wasio na ulinzi.
-
WFP yatahadharisha kuhusu ongezeko la njaa duniani
Nov 19, 2025 06:57Mpango wa Chakula Duniani (WFP) umeeleza kuwa kupunguzwa kwa misaada ya nchi wafadhili kutazidisha mgogoro wa njaa unaozidi kuongezeka kote ulimwenguni, na kuonya kwamba zaidi ya watu milioni 300 watakabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula mwaka ujao.
-
Umoja wa Mataifa watahadharisha kuhusu hatari ya njaa katika nchi 16
Nov 14, 2025 02:25Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) na Mpango wa Chakula Duniani (WFP) zimeonya kuhusu mgogoro mkubwa wa ukosefu wa usalama wa chakula unaozidi kuwa mbaya katika nchi 16, na kuweka hatarini maisha ya mamilioni ya watu, hasa katika maeneo yenye migogoro na majanga ya hali ya hewa.
-
Idadi ya Wapalestina walioaga dunia kutokana na njaa Ukanda wa Gaza imeongezeka hadi 197
Aug 08, 2025 02:22Wizara ya Afya ya Palestina katika Ukanda wa Gaza imetangaza kuwa Wapalestina wengine wanne wameaga dunia kutokana na njaa iliyosababishwa na kukosa chakula, na hivyo kuifanya idadi ya wahanga walipoteza maisha kutokana na njaa katika Ukanda wa Gaza kuongezeka na kufikia 197.
-
Wapalestina wasiopungua 94 wameuawa shahidi Gaza katika saa 24; 180 waaga dunia kwa njaa
Aug 04, 2025 10:40Vyombo vya habari vimetangaza kuwa Wapalestina wengine wasiopungua 23 wameuawa shahidi katika mashambulizi ya jeshi la utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza.
-
Israel yaendeleza mashambulizi ya anga na mizinga Gaza, watoto wachanga wanakufa kwa njaa
Jul 21, 2025 13:33Mashambulio ya anga na ya mizinga ya utawala wa Israel katika Ukanda wa Gaza yanaendelea huku janga la njaa likizidi kushadidi siku baada ya siku na kuua Wapalestina wanaoishi katika eneo hilo.
-
Sababu za Marekani na Israel kuwapiga risasi Wapalestina kwenye safu za misaada huko Gaza
Jul 06, 2025 02:25Wakandarasi wa usalama wa Marekani wanatumia risasi za moto, maguruneti, na gesi ya kuwasha dhidi ya raia katika vituo vya usambazaji wa misaada ya kibinadamu katika Ukanda wa Gaza.
-
UNRWA: Watu wa Gaza wanazirai mitaani kwa sababu ya njaa
Jul 04, 2025 15:23Shirika la Umoja wa Mataifa la Misaada kwa Ajili ya Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) limetangaza leo Ijumaa kwamba Ukanda wa Gaza unasumbuliwa na hali mbaya na kwamba njaa imekithiri katika eneo hilo, na watu wanazimia barabarani kutokana na njaa kali.